Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Watu tuna Id fake na humu kwenye majukwaa tunajiachia kupita kiasi! Pm za mapenzi za nn!!!? Nani ana uhakika kuwa demiss ni ke? Una uhakika upi kama Gentamycin sio wale wasojulikana? Ukitaka hayo nenda fb uko mkuu wapo wengi wanadangika kule humu utaishia kutekwa tu utapokuta MAMA SABRINA ni Dume la haja! Au SKY ECLAT ni mtu wa kitengo!! Endekeza pm utakuja na mrejesho ukifanikiwa kutoka hai.
 
Halafu anakuja mtu tena eti anajiita dume anajisifu kua "mimi pm mpaka nimezichoka!" teh! teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…