Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Watu tuna Id fake na humu kwenye majukwaa tunajiachia kupita kiasi! Pm za mapenzi za nn!!!? Nani ana uhakika kuwa demiss ni ke? Una uhakika upi kama Gentamycin sio wale wasojulikana? Ukitaka hayo nenda fb uko mkuu wapo wengi wanadangika kule humu utaishia kutekwa tu utapokuta MAMA SABRINA ni Dume la haja! Au SKY ECLAT ni mtu wa kitengo!! Endekeza pm utakuja na mrejesho ukifanikiwa kutoka hai.