utaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
Kuna mwamba mmoja nilisha wahi kukutana nae tukafanya biashara, jamaa alikuwa mwanajeshi alikuwa anasoma nchi flani ulaya anachukua mizingo ananitumia nauza mizingo yote ilikuwa inapita free no tax na tulikutana Jf sasa hivi yupo bongo naskia ni mtu mkutwa ndani ya jeshi na sim zangu hazipokelewi tena number zake nikazipiga chini
Huu mwandiko umejaa uongo na uzandiki π πHili jambo kidogo linanishagaza sana wakuu, hivi inakuwaje hadi watu wanaanza kuwasiliana huko PM..???
Na ili ufike PM, unatakiwa kuingia kwenye jukwaa gani...!!!
Dahhhh, haya mambo mbona yananishangaza sana wallah....
Sitaki kuliamini hili Mkuu. Nadhani hii inatokana na namna utakavyojiweka kama unaigiza jf ni lazima ukikutana na mtu zile mbwembwe zipungue kidogo.
Kwa wale waigizaji ni lazima waogope kuonana na watu.
Hivi kumbe kujuana huwa inaendana na kupeana Ukimwi? Au sijaelewa hapa Mkuu? [emoji848][emoji848][emoji848]
Kabisa mkuu ule uhuru wa kujimwaga na wengine kujimwambafai unapungua kabisa,maana unahisi yule unaefahamiana nae atapitia uzi wako na kukuona boya
Zamani kulikuwa hadi na Tshirts za JF, watu walikuwa wana chill kiungwana...
Na hatabyakitokea ya kutokea yalikuwa yanabaki huko huko
Kila mtu abaki na msimamo wake, msimamo wangu ni kukutana na yoyote, ili mradi anajielewa na kujitambua. Tukishakutana ni lazima aweze kuwa na kifua!!
Lol,Hili jambo kidogo linanishagaza sana wakuu, hivi inakuwaje hadi watu wanaanza kuwasiliana huko PM..???
Na ili ufike PM, unatakiwa kuingia kwenye jukwaa gani...!!!
Dahhhh, haya mambo mbona yananishangaza sana wallah....
Nakubaliana na wewe kabisaa manake hata mimi kwa mfano nikichoshwa na mihangaiko ya siku huwa napitia JF kusoma comments asee humu raia wanafunguka unaeza baki unacheka tu na uchovu ukaisha kabisa,.. Sijawahi fikiria kabisa kukutana na member yeyote, japo JF imeniunganisha na wadau kadhaa na tumefanya biashara online hata bila ya kuonana kulingana na sababu zinazokuwa nje ya uwezo.na kwl km mimi JF naichukulia kama apps zingne nikiwa najiskia kucheka nakuja kusoma comments za watu kwenye zile uzi pambe
We jamaa bhana!eti to meat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PM anayomaanisha kama sijakosea ni Personal Message.Huu mwandiko umejaa uongo na uzandiki π π
Sitaki kuliamini hili Mkuu. Nadhani hii inatokana na namna utakavyojiweka kama unaigiza jf ni lazima ukikutana na mtu zile mbwembwe zipungue kidogo.
Kwa wale waigizaji ni lazima waogope kuonana na watu.