Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Kuna mwamba mmoja nilisha wahi kukutana nae tukafanya biashara
 
utaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....

na kwl km mimi JF naichukulia kama apps zingne nikiwa najiskia kucheka nakuja kusoma comments za watu kwenye zile uzi pambe
 
Kuna mwamba mmoja nilisha wahi kukutana nae tukafanya biashara, jamaa alikuwa mwanajeshi alikuwa anasoma nchi flani ulaya anachukua mizingo ananitumia nauza mizingo yote ilikuwa inapita free no tax na tulikutana Jf sasa hivi yupo bongo naskia ni mtu mkutwa ndani ya jeshi na sim zangu hazipokelewi tena number zake nikazipiga chini
 
Kwa wao kujuana ni sawa na kuwa kwenye mahusiano. Ndio maana hwataku kujuana na watu sababh hawataki mahusiano nao. Naitafsiri kama ushamba pia kama kila unaejuana nae basi mnajuana kwa sababu ya kuanzisha mahusiano
Hivi kumbe kujuana huwa inaendana na kupeana Ukimwi? Au sijaelewa hapa Mkuu? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hili jambo kidogo linanishagaza sana wakuu, hivi inakuwaje hadi watu wanaanza kuwasiliana huko PM..???
Na ili ufike PM, unatakiwa kuingia kwenye jukwaa gani...!!!
Dahhhh, haya mambo mbona yananishangaza sana wallah....
Lol,
 
sijawahi ila siku moja itapobidi "nitajaribu" ila ntakua makini kama naingia kwenye interview

ole wake ashike smart mbele yangu,sitomuelewa yani muda wote tutaokaa pamoja ntaomba

tushirikiane kwa maongezi tu na si vinginevyo.
 
na kwl km mimi JF naichukulia kama apps zingne nikiwa najiskia kucheka nakuja kusoma comments za watu kwenye zile uzi pambe
Nakubaliana na wewe kabisaa manake hata mimi kwa mfano nikichoshwa na mihangaiko ya siku huwa napitia JF kusoma comments asee humu raia wanafunguka unaeza baki unacheka tu na uchovu ukaisha kabisa,.. Sijawahi fikiria kabisa kukutana na member yeyote, japo JF imeniunganisha na wadau kadhaa na tumefanya biashara online hata bila ya kuonana kulingana na sababu zinazokuwa nje ya uwezo.
 
100℅
Sitaki kuliamini hili Mkuu. Nadhani hii inatokana na namna utakavyojiweka kama unaigiza jf ni lazima ukikutana na mtu zile mbwembwe zipungue kidogo.

Kwa wale waigizaji ni lazima waogope kuonana na watu.
 
Back
Top Bottom