Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Mm ni mmoja wapo ila kabla mwaka huu haujaisha ni lazima tuonane brother Eyce .
 
Waogopa atakutwanga photo au??
sijawahi ila siku moja itapobidi "nitajaribu" ila ntakua makini kama naingia kwenye interview

ole wake ashike smart mbele yangu,sitomuelewa yani muda wote tutaokaa pamoja ntaomba

tushirikiane kwa maongezi tu na si vinginevyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka nini eti jamani jirani
Nacheka tu jirani jinsi hiyo aisee ambavyo haijulikani upo upande gani.🤣🤣

Kama hujawahi 😜😜 jitahidi uonane na baadhi hasa wale wenye mawazo makubwa kukuzidi mana kiukweli baadhi ni watu wazuri mno tunaosaidiana kwenye shida na raha na hata kupeana michongo ya namna ya kujiongezea vipato nje ya viajira vyetu vinavyotuweka mjini.
 

yaaah ata m hiko ndo kinanifurahisha humu
 
Kukutana na jf member hawa wanaoishi maisha ya movie ni bora kwenda kunywa bia ,wengi wamechoka ila wanajidai wako matawi, pole sana aisee ,
 
Kwa wao kujuana ni sawa na kuwa kwenye mahusiano. Ndio maana hwataku kujuana na watu sababh hawataki mahusiano nao.
Na hii ndio inayoleta shida kwa wengi.
Naitafsiri kama ushamba pia kama kila unaejuana nae basi mnajuana kwa sababu ya kuanzisha mahusiano
Ila inawapasa wajue kuna sababu nyingi ya kuwakutanisha watu nje ya kuwa na mahusiano na mwisho wa siku maisha yakaendelea ndani ya Jf pasi shida yeyote.
 
Jf ni vile unaitumia Hata mimi naikubali nikitaka vitu used naruka na wauzaji hewani tunakutana tunauziana kila mtu anaishia kimpango wake hatutaki mazoea.
Wengine jf inatupa mpunga tunapiga biashara za hapa na pale kuona sio uovu kabisa kwetu ila kaz ipo kwa wachakataji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…