Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Na hii ndio inayoleta shida kwa wengi. Ila inawapasa wajue kuna sababu nyingi ya kuwakutanisha watu nje ya kuwa na mahusiano na mwisho wa siku maisha yakaendelea ndani ya Jf pasi shida yeyote.
Itabidi nipambane sana nikutune na wewe. Na sababu ya kukutana ni kupanga mikakati ya kuishabikia timu yetu Yanga
 
Brotherrrr hiyo aihitaji comfirmation [emoji4]...
Tutapanga tu mzee hata kama sio mwezi huu ila ni MUST...
Shukrani and pamoja sana mzee
Kabisaa chief.tuko pamoja
 
Siku hizi utoto mwingi. Na ndo hao hao wanaoaminisha watu kuwa kujuana na watu wa JF sio kitu kizuri.
Hapana Mzigua90 sidhani kama kuna mtu amesema si kitu kizuri kukutana na jamii ya humu. Tunazungumzia ule ukutanaji wa ulio unaoweza kufikia 80%,wengi si watoto humu,nikizungumzia hivyo wengi wanajua ni wa aina gani?. Unajua wapo wengi watazama PM kwako kwa nia tu ya aina niliyozungumzia hapo juu. Lakini yote kwa yote campany kama hii ya Jf kufahamiana na kubadirishana mawazo,mkafurahi pamoja mnapokutana ni afya sana.
 
Kwa hiyo kila mtu uliyewahi kuchat nae PM uneonana nae?
Halafu bahati mbaya sana hakuna niliewahi kukutana nae. Hasa sisi wa mikoa si rahisi sana kukutana kuliko nyie mliopo town. Hivi unajua JF karibu imebeba 80% ya waliopo dar?. Muda mwingine kwa uwingi wenu huo ni rahisi kufahamiana. Binafsi natamani kukutana na wengi humu. Hasa @Elmanigfico,The bold,@manengero,Antorio na wengine wengine
 
Mmmmh....! Hata Ushimen? Sidhani mkuu. Wewe lazima unafahamiana na hata 4,5. Wewe ni fermacy humu
Mkuu, mihakuna ninae fahamiana nae na sijawahi kukutana na yeyote wallahi.
Labda kama nina kutana nao na kufahamiana nao, lakini nakuwa sijui hata kama jf wanaijuwa...teh[emoji23]
 
Mimi huwa nikiona haya yanatokea naamini umri ushatutupa mkono...
Na shida kubwa naona vijana wameiharibu jf na kusababisha ongezeko la taharuki ambayo imesababisha hofu kubwa.
Kwa sisi wazee, haya mambo hayakuwepo enzi zile. Jf tuliishi kwa upendo na kila mmoja alitamani walau kufahamiana na mwingine. Sikuzile palikuwa na nidhamu na kila mmoja alimuheshimu mwingine aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…