Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

7 years in JF as a member plus 2 years as a guest(before membership)

Sijawai onana na member hata mmoja

Kwanza hata ucjangiaji wanting wa kusuasua just imagine 7 years post 6k+ tu [emoji44]
 
Comrade niliona hiyo kipande nikacheka sana...[emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wa JF wana maneno sana nyuma ya vifaa vyao vya mawasiliano...
 
Hahahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]
 
Hata nyie vi Ben ten huwa wengine wanapenda sana majimama makubwa makubwa,ila km ww naona unakaunafuu flani hv,endelea kukaza hivyo hivyo bwamdogo.ila ukikaza ukaze hadi kwa wenye umri wako maana hao pia ndo kimbilio LA madingi wengi
 
Yaani ukifika huko tangaza kabisa mimi ni @swet_R wa jf nawasalimia huko huko utapewa ushirikiano
Ahahaaaaaa....! Nimeipata hiyo mkuu. Ngoja nitacheck nayo
 
Kuzoeyana Sana Ni kuchorana tu na unafki tu

Ishi maisha Kama huna Jambo la kuongea nam usitake tujadili ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…