Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
UmechelewaUkinikubalia nakuoa mchana kwa upee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmechelewaUkinikubalia nakuoa mchana kwa upee
Naomba kuonana na weweSawa[emoji4]
Hamna tatizo.Naomba kuonana na wewe
Haya, nami ngoja nichangie hapa.
Eti nina UKIMWI [emoji1787].
Hiyo niliiona juzi nikaishia kucheka tu.
Watu walikuwa wanazunguka zunguka tu lakini hawanitaji.
Unawaona wanajichekesha chekesha tu...oh sijui yule mbeba maboksi...oh sijui kamla nani na nani!
Hahahaha....99% of the content here is bullshit!
Matapeli wengi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...! Walikukamua mzee mzima? Pole sana.
Hahahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]Haya, nami ngoja nichangie hapa.
Eti nina UKIMWI [emoji1787].
Hiyo niliiona juzi nikaishia kucheka tu.
Watu walikuwa wanazunguka zunguka tu lakini hawanitaji.
Unawaona wanajichekesha chekesha tu...oh sijui yule mbeba maboksi...oh sijui kamla nani na nani!
Hahahaha....99% of the content here is bullshit!
Sihitaji hata kuwaona
Una bahati mbaya,tena wanaume wa Dar wapo fasta muonane kama lile goli lao la kwanza
Usitake nimwage mchele penye kuku wengi jamani!!
utaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
Umechelewa
ImposibleThen u will die ukiwa hujameet mtu hapa jf