Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

utaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
 
Kwa kweli
 
Eheeeee...! Tena we dogo under 25 ndio nilikuwa nakutafuta saaaana. Bora umejitambua,usimame na msimamo huo huo. Wewe umejitambua,lakini nataka nikuambie wenzio wengi hiyo age wanajitupia humo,hawajali cha umri. Chunga
 
Kuna mtoto nilimzamia PM hakujibu Leo hii ninashukuru kutokujibu kwake huenda nilikuwa nautafuta msiba, sijawahi kukutana na member yeyote ingawa job kuna watu najua wako JF lakini hawajawahi kuniuliza wala kuwauliza kuhusu JF ni as if hakuna anaeijua!
 
Sio kwamba ndio kuna shida saaana huko PM,ila kuna dogo ngebo amedadavua vizuri kuhusu baadhi ya watu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…