Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
Pm mnafuatana sawa ila baada ya hapo hapo japo inaanzia hapoSi baada kufuatana PM mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pm mnafuatana sawa ila baada ya hapo hapo japo inaanzia hapoSi baada kufuatana PM mkuu?
Kwa kweliutaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
Eheeeee...! Tena we dogo under 25 ndio nilikuwa nakutafuta saaaana. Bora umejitambua,usimame na msimamo huo huo. Wewe umejitambua,lakini nataka nikuambie wenzio wengi hiyo age wanajitupia humo,hawajali cha umri. Chungautaanzaje kukutana na mtu wa jf, labda tu iwe ni biashara tu basi, huku jf asilimia kubwa ya watu wapo "disturbed", wengi wana stress za maisha nk, na pia wengi wana chuki na hasira sana, pia wengi wapo kwenye umri kuanzia 28 years kuendelea, labda ndio maana, ila sisi below 25 sina tatizo na yoyote maana wengi wetu tupo tu uku kama torati ya kudownload apps, jf ni app tu kama zingine, ila wengine "hasa hao wanaojiiita wakubwa ndio wapo huku kama kijisehem chao cha kujificha na kutolea hasira zao, sasa wewe ukianzana na mtu huko pm, akikuambia yuko juu ya 25 we achana nae tu ndio huko mnajichotea watu washapitia kila aina ya maisha, kama unatafuta mahusiano, anza na walio karibu yako na sio huku kwa sociopaths....
SijakusomaHata wa Arusha?. Kile kifupi wastani hivi huyu nani huyu? mzee baba
Sisi wa mikoani ndio kabisaaaa mkuu,zaidi ya kuwaona kwa picha tu. Huyu Pascal Mayala nimemsoma sana enzi hizo Raia mwema. Hawa wengine kwa chini ni akina nani mkuu? Ni wavuvi mkuu?Muwe wakweli hamjawahi kuonana na hata Hawa wafuatao baadhi Yao
1. Pascal Mayalla
2. Paul Makonda
3. Nape Nnauye
4. Maxence Melo n.k.
[emoji3][emoji3][emoji3] mbona umecheka sana vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....![emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]weweeeeeee?
Sio kwamba ndio kuna shida saaana huko PM,ila kuna dogo ngebo amedadavua vizuri kuhusu baadhi ya watu humuKuna mtoto nilimzamia PM hakujibu Leo hii ninashukuru kutokujibu kwake huenda nilikuwa nautafuta msiba, sijawahi kukutana na member yeyote ingawa job kuna watu najua wako JF lakini hawajawahi kuniuliza wala kuwauliza kuhusu JF ni as if hakuna anaeijua!
Tupo[emoji4][emoji4]
Hata shetani ananishangaa ninavyosema uongo
Shida ni kukutana baada ya makubaliano ya yanayofanyika PM.Sio kwamba ndio kuna shida saaana huko PM,ila kuna dogo ngebo amedadavua vizuri kuhusu baadhi ya watu humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenza natania bwana, wapo watu ninaofahamiana nao humu na 90% ni wastaarabu kabisaUsikubali kukutana nao mwaya. Si umeona huku wengi psychopath eti
The same to me mkuu! Mungu anijalie niendelee na moyo huuhuu! haya mambo ya kukutana haya, huwezi kujua huyo unayeenda kukutana naye yupo kwenye misheni gani!I dont meet and talk to strangers. Huwa tunamalizana hukuhuku kwenye comments