Phenomenal woman
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 334
- 654
Si story tu we sema
ulie mtafuna au ulie mkimbia?? boss!!!Naogopa kueleza kwakua niliye mtafuna yupo humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si story tu we sema
ulie mtafuna au ulie mkimbia?? boss!!!Naogopa kueleza kwakua niliye mtafuna yupo humu
Ila ww manz unaonekana unatia watu nyege lkn nina wasiwasi na jinsi ulivyo.Nikupe msaada nenda kaanzishe uzi unaosema
"Huyu ndo Demiss Wa Jamiforum"
Weka sifa zangu nilivyo
Weka Picha zangu
Unipigie promo ubaya sasa nina mme wala sihitaji sokooo zaid utanipunguzia usumbufu wa watu kunijua.
Ukimaliza utapata comment na like Za kumwagaaaa maisha yaendeleeee na uweke namba yako ya simu nikutumie muamala kwa kufanikisha kuandaa huo uzi.
Sipendi wanawake, nikishaweka natembea na sirudi nyuma
Naona hapa ulipinda ukaishia kupata comment 10 wenzio walikuona popoma usio na akili unawadhalilisha wanawake yakakupotezea utaachaje kuumia juu ya Demiss kiboko ya uchafu.
Nipe ubuyuuMIMI tenaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
mapemaaaa![]()
Aliemkimbia baada ya kumtafunaulie mtafuna au ulie mkimbia?? boss!!!![]()
![]()
![]()
tena sio mmojaa... tukianza na first born, mwengine humjui na mmoja ndo nlibeba hadi viatu mkononiiii dadekiNipe ubuyuu
What makes it so fun ni zile sauti ujue hahahahaUna sauti kwanza. Usikute sauti yako kama yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wasiwasi wa nini?Ila ww manz unaonekana unatia watu nyege lkn nina wasiwasi na jinsi ulivyo.
jana nimemponyoka mtu kwenye ATK PaaaaapNipe ubuyuu
Nakumbuka mwaka 2016 tukiwa Club 7 Kama sikosei kibo complex tegeta pale tunacheza Muziki na marafiki zangu akaja njembaa moja jeusi limepanda hewani akaanza kunishobokea analeta savvana hapo kichwani nimeshamoka na konyagi nimelewaa tukaanza kunywa anawanunulia na marafiki zangu wanagonga c lite
Nikienda kucheza na mtu anazingua balaa si unajua Club watu wanapenda kudandiana nyuma nyumaa wanaume basi akasema anataka kuondoka na mm nikakubali ili tuendelee kunywa ile inafika mida ya saa 9akasema njoo ukae kuna masofaa mle ndani anipapase papase chura nikakubali ndo pale nikapata nafasi ya kupima Plug wanaume mnaelewa dushe weee ile naweka mkono kitu kimesimama anabonge la blug kama mkono Wa mtoto nikajikaza sana.
Nikamwambia ngoja nicheze kidogo ikabid niwatonye marafiki zangu tukimbie mmoja mmoja tukutane chini tulikopaki gari mm nitakuwa wa mwisho kutoroka basi plan ikaanza.
Nikarud nikamwambia akalete bia ambayo tunasemaga one for the road na mi naenda kukojoa weeeee alivyojichanganya nikatoka nduki mpaka kwenye lift haooo tukaenda kuwasha kispasho chetu mpaka Mbagala rangi 3 njiani tunacheka balaaa tunafika home kispasho kimechemka ikabidi tukimwagie maji kikafukaaa mpaka moshiiiiiii
Una tabia za ajabu rafiki angu [emoji23][emoji23][emoji23]tena sio mmojaa... tukianza na first born, mwengine humjui na mmoja ndo nlibeba hadi viatu mkononiiii dadeki
EehWhat makes it so fun ni zile sauti ujue hahahaha
Hahha interesting😀😀😀
Nilimkimbia jamaa ana dushelele kubwa hatari😀😀😀😀😀
ARK ni nani? Efm?jana nimemponyoka mtu kwenye ATK Paaaaap
Una tabia za ajabu rafiki angu [emoji23][emoji23][emoji23]
ni bibi mdoARK ni nani? Efm?
Huwezi kuacha wewe.![]()
![]()
![]()
![]()
nakua saiv siachi tyena![]()
Acha tu.ulie mtafuna au ulie mkimbia?? boss!!!![]()
![]()
![]()
Wallah umeniachani bibi mdo
Acha tu.
Ingawa hata tukikutana humu tunacheka.
Si unajua kunatokea stori ya mtu humu afu then mnajikuta wenyewe mmeifanya hiyo stori kuwa kweli!!
Akiona hii koment najua ata like.
cha kuringaaaa.... the singerrr..... angaza man........inzinzaaaWallah umeniacha