Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Si story tu we sema
Naogopa kueleza kwakua niliye mtafuna yupo humu
ulie mtafuna au ulie mkimbia?? boss!!!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Nikupe msaada nenda kaanzishe uzi unaosema
"Huyu ndo Demiss Wa Jamiforum"
Weka sifa zangu nilivyo
Weka Picha zangu
Unipigie promo ubaya sasa nina mme wala sihitaji sokooo zaid utanipunguzia usumbufu wa watu kunijua.
Ukimaliza utapata comment na like Za kumwagaaaa maisha yaendeleeee na uweke namba yako ya simu nikutumie muamala kwa kufanikisha kuandaa huo uzi.


Sipendi wanawake, nikishaweka natembea na sirudi nyuma

Naona hapa ulipinda ukaishia kupata comment 10 wenzio walikuona popoma usio na akili unawadhalilisha wanawake yakakupotezea utaachaje kuumia juu ya Demiss kiboko ya uchafu.
Ila ww manz unaonekana unatia watu nyege lkn nina wasiwasi na jinsi ulivyo.
 
Nakumbuka mwaka 2016 tukiwa Club 7 Kama sikosei kibo complex tegeta pale tunacheza Muziki na marafiki zangu akaja njembaa moja jeusi limepanda hewani akaanza kunishobokea analeta savvana hapo kichwani nimeshamoka na konyagi nimelewaa tukaanza kunywa anawanunulia na marafiki zangu wanagonga c lite
Nikienda kucheza na mtu anazingua balaa si unajua Club watu wanapenda kudandiana nyuma nyumaa wanaume basi akasema anataka kuondoka na mm nikakubali ili tuendelee kunywa ile inafika mida ya saa 9akasema njoo ukae kuna masofaa mle ndani anipapase papase chura nikakubali ndo pale nikapata nafasi ya kupima Plug wanaume mnaelewa dushe weee ile naweka mkono kitu kimesimama anabonge la blug kama mkono Wa mtoto nikajikaza sana.
Nikamwambia ngoja nicheze kidogo ikabid niwatonye marafiki zangu tukimbie mmoja mmoja tukutane chini tulikopaki gari mm nitakuwa wa mwisho kutoroka basi plan ikaanza.
Nikarud nikamwambia akalete bia ambayo tunasemaga one for the road na mi naenda kukojoa weeeee alivyojichanganya nikatoka nduki mpaka kwenye lift haooo tukaenda kuwasha kispasho chetu mpaka Mbagala rangi 3 njiani tunacheka balaaa tunafika home kispasho kimechemka ikabidi tukimwagie maji kikafukaaa mpaka moshiiiiiii

Mmepitia mambo mengi, mimi nina swali, ina maana asingekuwa na lidudu kubwa ungelala naye? MMEKUTANA NAYE SIKU MOJA, HIYO INA MAANA WEWE NI MALAYA UNAUZA UCHI AU? hemu nieleweshe!
 
Back
Top Bottom