Nyakati fulani nilikua sehemu moja inaitwa Hungumalwa-Mwanza, basi weekend nikasema niende town. Kuna club moja inaitwa Rockbottom. Nikaparty sana nikamuona mtt mmoja mkali sana, basi nikajoin, tukapiga mtungi hadi saa 10, mimi hali niko hoi, na asubuhi nilipashwa kufanya manunuzi fulani, basi nikamchomoa 'mrembo', tukafika hoteli moja inaitwa Isamo, Room kuambiwa imebaki suit tu 50, nikabargain na receptionist kwa hoja kua time hii almost kumekucha, nikaclear 30, nikabaki na 40. Basi yakajili yakujili room , sema niligundua yule binti amelewa sana. Nimestuka saa 2 asubuhi, 'mrembo' kazima bado. Basi nikapiga maji, kuondoka nikamuwekea simu yake charge(last night alicomplain haikua na charge na hakua na charger), nikamuachia 20 mezani na namb yangu kwenye karatasi. Mchana wake binti karuka hewani , haamini kilichojiri..hadi leo ni 'mshkaji' wangu sana.. Unfortunately nilinote ni married woman sema ana frastuations za ndoa..