Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Uza sera[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uza Sera[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umesema kweli bro,I can feel hilo nyonyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nishawah kumtoroka demu asubaa ile naingy kwenye kosta kama kawa nkawah siti ya mbele kufika mbele kdg lahaula nae anasimamisha hy hy kosta hahaha nilichanganyikiwa nkajikuta namuambia dereva huyo haendi huyo.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha ha ha ……
 
Nimesoma reply zote ila sijaona mwanamke aliekubali kwamba kaliwa AFU KAKIMBIWA


Eti wote wametukimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa ujanja gaaan
hahahahahha...wanawake hawasemagi udhaifu wao
 
d
hahahahaha..mapema sana
 
Uzi mtamu kichiz.
Niliwahi kumtoroka dem mmoja alilewa akatapika kitandani . Nikaona huu msala niliondoka saa 11 asubuhi akiwa amelala nikawaambia walinzi nawahi usafiri mkoa.
Nilijihisi nimefanya unyama kinoma ila kupitia huu Uzi aiseee kuna watu wamevunja record
 
kuna mshikaji wangu tulikuwa naye tunduma akamtoroka demu guest ... demu asubuhi akajihimu kwa trafic mpemba .akawa anakagua kila gari... ilibidi masela tumpakie mshikaji kwenye lori la mahindi nyuma kwenye magunia hadi vwawa.
 
kuna mshikaji wangu tulikuwa naye tunduma akamtoroka demu guest ... demu asubuhi akajihimu kwa trafic mpemba .akawa anakagua kila gari... ilibidi masela tumpakie mshikaji kwenye lori la mahindi nyuma kwenye magunia hadi vwawa.
Hakumlipaa nin!???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo unamkula wife wa mtu kumpunguzia frustrations?
Hapana mkuu, nilipiga mara moja tu.. baada ya kugundua ni wife wa mtu sikua na hamu. Huwa sipigi mke wa mtu. Hiyo ni principle yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…