Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Kununua mwanamke ni ugonjwa wa akili, bora kwa wenzetu wale wanajiuza ni professional kabisa ila kibongo bongo hapa,wanajifuta na tishu anarudi kula kichwa kingine

Serekali iangalie hii biashara ione itawawezesha na kuwaelimisha vip hao kina dada waweze kufanya kazi zao kwa uweledi wa hali ya juu[emoji23] [emoji23]
Ngoja waje wateja waooooo
 
Kweli na tungepata mapato pia kupitia hiyo biashara. Bongo bora uchukue escort wapo wengi japo sio professional. Ngoja nkaombe kibali niwafungulie na web kabisa watoto wazuri wote wamjini nawaweka humo niwapunguzie kaka zangu kasi ya kula machangudoa wa Sinza
 
sema sasa ukiwa manage unatakiwa uwe mfano kwa vitendo ndio watakuelewa[emoji23]
 
Looh shem hayo maisha ya zaman nipo okay saiv bhn
Sasa sindio namaanisha hivyo hivyo shem, kama sasa hv umetulia basi umetulia kweli ata mtu akikuweka ndani hatojutia uamuzi wake
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
Eti nasikiaga wanasema ile ni kama sahani tu mtu akilia chakula inaoshwa afu anakuja tena kutumia mwingine...
 
Nakumbuka mwaka 2016 tukiwa Club 7 Kama sikosei kibo complex tegeta pale tunacheza Muziki na marafiki zangu akaja njembaa moja jeusi limepanda hewani akaanza kunishobokea analeta savvana hapo kichwani nimeshamoka na konyagi nimelewaa tukaanza kunywa anawanunulia na marafiki zangu wanagonga c lite
Nikienda kucheza na mtu anazingua balaa si unajua Club watu wanapenda kudandiana nyuma nyumaa wanaume basi akasema anataka kuondoka na mm nikakubali ili tuendelee kunywa ile inafika mida ya saa 9akasema njoo ukae kuna masofaa mle ndani anipapase papase chura nikakubali ndo pale nikapata nafasi ya kupima Plug wanaume mnaelewa dushe weee ile naweka mkono kitu kimesimama anabonge la blug kama mkono Wa mtoto nikajikaza sana.
Nikamwambia ngoja nicheze kidogo ikabid niwatonye marafiki zangu tukimbie mmoja mmoja tukutane chini tulikopaki gari mm nitakuwa wa mwisho kutoroka basi plan ikaanza.
Nikarud nikamwambia akalete bia ambayo tunasemaga one for the road na mi naenda kukojoa weeeee alivyojichanganya nikatoka nduki mpaka kwenye lift haooo tukaenda kuwasha kispasho chetu mpaka Mbagala rangi 3 njiani tunacheka balaaa tunafika home kispasho kimechemka ikabidi tukimwagie maji kikafukaaa mpaka moshiiiiiii
Mamaaaa ulimtapel mjomba angu aliniadisia hiyo story sasa cha kufanya tutakutafuta ulipe tuu so unajua mla vya watu na vyake uliwa???????
 
Back
Top Bottom