Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Katalunya kulishajifia. Kuna siku nlikutana na Mike ile Katalunya ingine kapauka hata sura ya hela haipo tena. 777 madanga bado yapo sema nayo yamebanwa na kingine yameshakula wanawake wengi sasa hata wakiona hawawezi shobokea maana wanajua we shemeji yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanahonga honga bado japo si kama zamani.
Hebu jaribu siku moja nenda golden j au sehemu yoyote wanayopiga skylight jamana sikujuag wale wasukuma ni washamba kiasi hichi esp jembe ni jembe khaaaaa ,hivi ushwah kukutana nao kile kigroup chao??
 
First time nakutana na jembe ilikua 2012 kipindi hela inaanza anza sema mi wanaume malaya siwezi nikamzungusha zungusha nkamuacha na alinuna kisa nilikataa kumpa game. Golden J naona palikua mwanzo. Jembe alikuaga zamani sasa hiv na yeye hana maana japo wanasema bado anahonga
 
Mi ushamba wao ndo unanichosha jamaan alafu wakomuona mwanamke yoyote wanadhani ndo wale wale yaaaan
 
Hahahahaaa Malaya noma. Unanikumbusha miaka ya 2009/2010 hivi wakati huo tunaanza kazi kigeto kimoja Basi maafisa ndo sisi mabishoo balaa.

Sasa Kuna jamaa yangu alikua hajapanga bado kazi yake kudandia tunazunguka kulala kila sehemu Kama tupo hostel bado. Mie geto kwangu nikipata mlupo nampiga exile anaenda kulala kwa mwana mwingine na yy akipata bas nampisha. Sasa weekend Moja kaokota Malaya nikampisha bwana wanekubaliana fresh atamtoa 30. Kumbe mwana ule usiku gambe na Nini kamaliza hela yote kabakia na Kama buku 4 tu. Kapiga mzigo fresh kamgalagaza dada wa watu kufika saa11 Dem anataka chake jamaa kaanza saundi Mara mpesa imefanyaje sijui Mara subiria kukuche zogo zogo kweli nimekuja kusimulia na majiran zangu. Mwana ananiambia Dem Hadi alimsachi ndo kamkuta na buku4 tu Dem kamaindi balaa humo ndani hataki kutoka

Sasa mida ya saa Moja asubuhi hivi mwana kanipigia simu mi mbio nikaokoe jahazi mshkaji akafanya kosa akaenda uwani. Choo Cha nje daaah ile anarudi anakuta Dem kashasepa na mie nafika nakuta Dem katuachia bonge la kimba la mavi kitandani Yani la motooo kakwara na ile buku nne yake

Hahahhaaaa tulibaki kucheka tu kwa ule mzigo Yani Dem Kama alijiandaa siku nne kitu inaweza kujaa ndoo Yani alijikamua yote ile

Tukaishia kuchoma Moto shuka zangu na harufu kwenye kitanda ilikaa Kama wiki hivi
Yaan ili ajue nyie wanaume kwel hayo mavi mngeyapigia puli yaanmyafanye yawe ndo kama sabuni ,!!!
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
MNAO WEHU wallah
Hujawahi kumkimbia mtu kweli?
 
Back
Top Bottom