Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga
we nawe..ndo umeandika nini sasa..Wawake wajiuzao watamu sana
 
Nikiwa nasoma udsm kule hostel za mabibo kuna.mkaka huyo jaman ni tapeli sijapataaa kuonaaaa yaaan wasichana wengi wanadanganyikaga naye saanaa kuja kumgunduaa ushafika.mwka wa pili ,full macheni ya silver,kila nguo mpyaa anayo magari kila siku anabadilisha kumbe sio yake yaaaan siku ya kuja kujua ni dalali nilichoka nikasema atawala wengi saanaa
kwahyo na wewe alikula au..funguka basi
 
Mmepitia mambo mengi, mimi nina swali, ina maana asingekuwa na lidudu kubwa ungelala naye? MMEKUTANA NAYE SIKU MOJA, HIYO INA MAANA WEWE NI MALAYA UNAUZA UCHI AU? hemu nieleweshe!
ndiyo kwani tatzo nn..angempa Papa tu
 
Scenario 1;

Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga:

Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya saa 3 usiku, kuna manzi mmoja alikuwepo anawinda pale anakunywa soda..mzuri kishenzi..zigo haswa,, nikamuita akatujoin..siunajua tena malaya wa Sinza anajifanya anasoma Ardhi, kumbe anawinda..Anajifanya anaongea kikristo tu (english) ili tumuamini anasoma kweli ili atupige vizuri. Mishale ya saa 5unusu tukaingia calabash pale..tukapiga za kutosha sana,, demu kala savanah kawaka kishenzi. Mfukoni nikaanza kuyumba..nikabakia na 50 tu, wana nao kila mmoja ana ratiba nying siunajua weekend tena.. huyu anataka kwenda triple 777, mwingine 40 40 vurugu tupu ilimradi kila mtu apate wa kuosha rungu. Nikamwambia msomi fake wa Ardhi twende zetu tukapumzike siye. Tukaingia Lufungila kituoni, km twaja meeda tukaingia opposite na kanisa la kakobe..Kitu Twiga Lodge hiyo..Kila mtu kawaka.. Mtoto kazama chumbani, Kabla sijamsaula,demu kanichana mm sipigwagi bure..nikamuuliza unataka sh ngap..nataka laki 2, nikasema No, ntakupa, laki na nusu Kakasema Poa. baada ya kulipa chumba, Mfukoni nimebakia na elfu 10..Basi tumetafunana kwelikweli...Saa 2 Asubuhi nikamstuka, nikavaa fasta..nikaiweka ile elfu 10 juu ya kitanda ili akimka tu aione itakuwa nauli yake, nikachukua funguo ya gari nikasepa...

Nilimkimbia kwakuwa that night sikuwa na pesa..but miye nipo mwaminifu sana tukikubaliana.. sema laki na ns nayo kubwa sana kwa 1 night labda km unapewa na kashata..hahahhhah.. Samahani sana mwanafunzi fake wa Ardhi..sema kwa kikristo/english kile mtu anaweza ingia kingi.

Ebu tupe na wewe experience YAKO vip hujawahi kumkimbia mtu bar..au lodge kutokana na bili kuwa kubwa..

na wanawake ambao unakimbiaga madanga kabla halijakula..ebu tiririka hapa au umekula sana za mwanaume bado unamkwepa funguka
kula kashata ndio nini
 
Kununua mwanamke ni ugonjwa wa akili, bora kwa wenzetu wale wanajiuza ni professional kabisa ila kibongo bongo hapa,wanajifuta na tishu anarudi kula kichwa kingine

Serekali iangalie hii biashara ione itawawezesha na kuwaelimisha vip hao kina dada waweze kufanya kazi zao kwa uweledi wa hali ya juu[emoji23] [emoji23]
I see u
 
Ila kicheche ni kicheche tu. Siku moja nimeingia kijiwe fulani nilikuwa naenda at least mara tatu kwa wiki. Siku hio nimeingia kulikuwa na promotion kama kawaida kuna vitoto vizuri sana ndio vinafanya hio promo. Mimi niko na jamaa yangu tukajisogeza kwa viwili tukaanza kuvichombeza kama kawa vikalia njaa na kiu.
Tukawaagizia msosi na vibia viwili vitatu,baadae mida immenda mimi na jamaa yangu ikabidi tuondoke wao promo inaenda hadi saa saba. Tukachukua namba zao za simu na baada ya kuchukua namba ya simu nikawauliza bill ya chakula na vinywaji wakasema 25,000/-. nikatoa 30,000 nikawapa mkononi mtalipa hii tukaondoka.
La haula huku nyuma baada ya promo kwisha wale mabinti wakaondoka bila kulipa! Sasa weekend iliofuata mimi nikaenda pale nikapokelewa na muhudumu alietuhudumia. Akaanza kuniambia bro siku ile umeondoka umesahau kulipa meneja kanikata hela ila sikuwa na wasiwasi nilijua wewe hapa nyumbani utarudi tu. Mimi nikawa simuelewi ndio akaniambia wale wadada uliowanunulia bia na chakula hukuwalipia!
Nikamwambia kabla sijaondoka niliwapa hela ya kulipia chakula na vinywaji na change nikawaachia, akasema duh basi wameondoka bila kulipa, akasema ngoja niongee na meneja anawajua watu wao wa promo. Yule meneja kweli akawasiliana na watu waliowaleta baadae nikasikia wamefukuzwa.
 
Back
Top Bottom