Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Ila kicheche ni kicheche tu. Siku moja nimeingia kijiwe fulani nilikuwa naenda at least mara tatu kwa wiki. Siku hio nimeingia kulikuwa na promotion kama kawaida kuna vitoto vizuri sana ndio vinafanya hio promo. Mimi niko na jamaa yangu tukajisogeza kwa viwili tukaanza kuvichombeza kama kawa vikalia njaa na kiu.
Tukawaagizia msosi na vibia viwili vitatu,baadae mida immenda mimi na jamaa yangu ikabidi tuondoke wao promo inaenda hadi saa saba. Tukachukua namba zao za simu na baada ya kuchukua namba ya simu nikawauliza bill ya chakula na vinywaji wakasema 25,000/-. nikatoa 30,000 nikawapa mkononi mtalipa hii tukaondoka.
La haula huku nyuma baada ya promo kwisha wale mabinti wakaondoka bila kulipa! Sasa weekend iliofuata mimi nikaenda pale nikapokelewa na muhudumu alietuhudumia. Akaanza kuniambia bro siku ile umeondoka umesahau kulipa meneja kanikata hela ila sikuwa na wasiwasi nilijua wewe hapa nyumbani utarudi tu. Mimi nikawa simuelewi ndio akaniambia wale wadada uliowanunulia bia na chakula hukuwalipia!
Nikamwambia kabla sijaondoka niliwapa hela ya kulipia chakula na vinywaji na change nikawaachia, akasema duh basi wameondoka bila kulipa, akasema ngoja niongee na meneja anawajua watu wao wa promo. Yule meneja kweli akawasiliana na watu waliowaleta baadae nikasikia wamefukuzwa.
Walikua na haki ya kufukuzwa kazi
 
Kama sio dharau hizo ni nini lakini?Et 20k,apo kahonga kamaliza
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hana hayaaaaaaaaa
 
Mm kuna Malaya nilimchukua pale Uhuru peak tumekula mitungi badae tukatafuta lodge kufika room ananikazia anataka laki nikasema poa, demu kasaula mm nikatoa ganja yangu nikawasha nikaanza kunyonya taratibu demu nae kashobokea on kampa apige puff kadhaa akanirudishia mm nikamalizia cha ukucha kugeuka namuona mtt amelala kumgusa amezima kabisa namtikisa hamna kitu nilichoamua ni kuanza kumsachi nguo zote sidilia na mkoba nikakuta ana mia sabini nikaikomba nikawaza nichukue na nguo zake akose za kutokea asbh nikamuonea huruma nikaziacha nikatoka pale nikaenda zangu Masai nakaokota Malaya mwingine nakaenda kujilia kiulaini nikampa 30.
 
Nakumbuka mwaka 2016 tukiwa Club 7 Kama sikosei kibo complex tegeta pale tunacheza Muziki na marafiki zangu akaja njembaa moja jeusi limepanda hewani akaanza kunishobokea analeta savvana hapo kichwani nimeshamoka na konyagi nimelewaa tukaanza kunywa anawanunulia na marafiki zangu wanagonga c lite
Nikienda kucheza na mtu anazingua balaa si unajua Club watu wanapenda kudandiana nyuma nyumaa wanaume basi akasema anataka kuondoka na mm nikakubali ili tuendelee kunywa ile inafika mida ya saa 9akasema njoo ukae kuna masofaa mle ndani anipapase papase chura nikakubali ndo pale nikapata nafasi ya kupima Plug wanaume mnaelewa dushe weee ile naweka mkono kitu kimesimama anabonge la blug kama mkono Wa mtoto nikajikaza sana.
Nikamwambia ngoja nicheze kidogo ikabid niwatonye marafiki zangu tukimbie mmoja mmoja tukutane chini tulikopaki gari mm nitakuwa wa mwisho kutoroka basi plan ikaanza.
Nikarud nikamwambia akalete bia ambayo tunasemaga one for the road na mi naenda kukojoa weeeee alivyojichanganya nikatoka nduki mpaka kwenye lift haooo tukaenda kuwasha kispasho chetu mpaka Mbagala rangi 3 njiani tunacheka balaaa tunafika home kispasho kimechemka ikabidi tukimwagie maji kikafukaaa mpaka moshiiiiiii
Khaaaaaa hatari sana
 
Scenario 1;

Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga:

Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya saa 3 usiku, kuna manzi mmoja alikuwepo anawinda pale anakunywa soda..mzuri kishenzi..zigo haswa,, nikamuita akatujoin..siunajua tena malaya wa Sinza anajifanya anasoma Ardhi, kumbe anawinda..Anajifanya anaongea kikristo tu (english) ili tumuamini anasoma kweli ili atupige vizuri. Mishale ya saa 5unusu tukaingia calabash pale..tukapiga za kutosha sana,, demu kala savanah kawaka kishenzi. Mfukoni nikaanza kuyumba..nikabakia na 50 tu, wana nao kila mmoja ana ratiba nying siunajua weekend tena.. huyu anataka kwenda triple 777, mwingine 40 40 vurugu tupu ilimradi kila mtu apate wa kuosha rungu. Nikamwambia msomi fake wa Ardhi twende zetu tukapumzike siye. Tukaingia Lufungila kituoni, km twaja meeda tukaingia opposite na kanisa la kakobe..Kitu Twiga Lodge hiyo..Kila mtu kawaka.. Mtoto kazama chumbani, Kabla sijamsaula,demu kanichana mm sipigwagi bure..nikamuuliza unataka sh ngap..nataka laki 2, nikasema No, ntakupa, laki na nusu Kakasema Poa. baada ya kulipa chumba, Mfukoni nimebakia na elfu 10..Basi tumetafunana kwelikweli...Saa 2 Asubuhi nikamstuka, nikavaa fasta..nikaiweka ile elfu 10 juu ya kitanda ili akimka tu aione itakuwa nauli yake, nikachukua funguo ya gari nikasepa...

Nilimkimbia kwakuwa that night sikuwa na pesa..but miye nipo mwaminifu sana tukikubaliana.. sema laki na ns nayo kubwa sana kwa 1 night labda km unapewa na kashata..hahahhhah.. Samahani sana mwanafunzi fake wa Ardhi..sema kwa kikristo/english kile mtu anaweza ingia kingi.

Ebu tupe na wewe experience YAKO vip hujawahi kumkimbia mtu bar..au lodge kutokana na bili kuwa kubwa..

na wanawake ambao unakimbiaga madanga kabla halijakula..ebu tiririka hapa au umekula sana za mwanaume bado unamkwepa funguka
Siku soma kipengele cha mwishoooo hahahahaha uwiiiiiii
 
Kweli na tungepata mapato pia kupitia hiyo biashara. Bongo bora uchukue escort wapo wengi japo sio professional. Ngoja nkaombe kibali niwafungulie na web kabisa watoto wazuri wote wamjini nawaweka humo niwapunguzie kaka zangu kasi ya kula machangudoa wa Sinza
Mbona website za MaEscort wa kibongo zipo kibao...
 
Nakumbuka mwaka 2016 tukiwa Club 7 Kama sikosei kibo complex tegeta pale tunacheza Muziki na marafiki zangu akaja njembaa moja jeusi limepanda hewani akaanza kunishobokea analeta savvana hapo kichwani nimeshamoka na konyagi nimelewaa tukaanza kunywa anawanunulia na marafiki zangu wanagonga c lite
Nikienda kucheza na mtu anazingua balaa si unajua Club watu wanapenda kudandiana nyuma nyumaa wanaume basi akasema anataka kuondoka na mm nikakubali ili tuendelee kunywa ile inafika mida ya saa 9akasema njoo ukae kuna masofaa mle ndani anipapase papase chura nikakubali ndo pale nikapata nafasi ya kupima Plug wanaume mnaelewa dushe weee ile naweka mkono kitu kimesimama anabonge la blug kama mkono Wa mtoto nikajikaza sana.
Nikamwambia ngoja nicheze kidogo ikabid niwatonye marafiki zangu tukimbie mmoja mmoja tukutane chini tulikopaki gari mm nitakuwa wa mwisho kutoroka basi plan ikaanza.
Nikarud nikamwambia akalete bia ambayo tunasemaga one for the road na mi naenda kukojoa weeeee alivyojichanganya nikatoka nduki mpaka kwenye lift haooo tukaenda kuwasha kispasho chetu mpaka Mbagala rangi 3 njiani tunacheka balaaa tunafika home kispasho kimechemka ikabidi tukimwagie maji kikafukaaa mpaka moshiiiiiii
jf kila mtu ana gari..
 
Back
Top Bottom