Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

Wewe kwanza hujui tofauti ya mahali na mahari, mpaka hapo unanipa shaka kwamba unaweza kujadiliana mambo makubwa ya kifalsafa na mimi.
Mimi mtu wa nyanda za juu kusini kwetu kura tunasema kula hatuna rrrr habari tunasema habali kama unashindwa kujadiliana.na.mimi mchina ,mhindi utaweza kumwelewa jibu hoja acha visingizio mkuu
 
Mahari imepitwa na wakati.

Inashusha utu wa mwanamke, inamfanya mwanamke awe ananunuliwa kama ng'ombe.

Kitu muhimu watu wajenge familia tu.

Hiyo familia ya huyo mwanamke imeelewa hilo.
Mahali inaongeza nguvu ya utawala wa mwanamme kwa mwanamke

Mahali inakupa mamlaka ya kuwa mume halali au kamili mbele ya wazazi na jamii

Mahali inakuganya ww mwaname uwe na uchungu na mkeo pia naongoza dhamani ya mwanamke

Ndio maana mwanamke uliemlipia mahali kun tofauti kubwa sana na mwanamke usiemlipia mahali
 
Kusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye.

Basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote, na baada ya msiba kuisha ikabidi mambo mengine yaendelee ikiwepo kikao k
Mahari ni Utamaduni ,ina maanisha usione vyaelea vilitunzwa mpaka unakutana nae ,alizaliwa akalelewa alisomeshwa aliuguzwa alipoumwa akakua akasaidiwa aanze maisha Sasa wewe unakutana nae yupo ready na maisha labda kaanza kujitegemea na wewe tayari umeanza kujitegemea ni rahisi kusema mmepandana muanze maisha pamoja kwa tamaduni za Africa mtahesabika nyie wahuni tu mmechukuana mnafanya uzinzi tu hamtapata baraka za wazazi ne je mtoto wa watu akikufia utamzika mwenyewe ,akikuambia wazazi wake wanaumwa utaenda kuwaona wazazi wake wewe kama nani .Jamii za watu wa Ulaya na America nyingi ndio hazina hizo mambo ya mahari sababu kubwa zimekomaa na maisha ya kibepari na Serikali zao zina pesa kusaidiana mahitaji binafsi ya watu sio lazima ndugu wahusike kwa Africa tamaduni na Serikali hazijimudu kihivyo ,tamaduni za kiafrica zinaishi kindugu ,zinauguzana ,zinasaidiana zinafurahi na kuhuzunika pamoja ,harusi kwa Africa ni jambo la kindugu na kijamii ,mahari ni sehemu ya tamaduni za Africa hata kama mmeona ulaya peke yenu itawabidi mje Africa kutimiza matakwa ya kitamaduni ,hata makanisani mkitaka mjifungishe ndoa mtaulizwa kama mmemalizana na mambo ya tamaduni zenu kama mahari na wakati mwingine mahari sio lazima.pesa inaweza ambiwa lete blanket ,lete mashuka let ng'ombe ,mbuzi au kuku unajua maana yake? Vijana wengi wa siku hizi wakitajiwa hivyo husema wapigiwe hesabu hivyo vitu shs ngapi ,wazee wanaojua mila hukataa pesa hutaka kama blanket ulete blanket kwao blanket ni kumbukumbu ya kumuaga mtoto wait kuliko pesa ambayo watatumia itaisha na haitakuwa kumbukumbu nzuri ya kuagana na binti yao
Shida akifa yeye au wazazi wake.Koo nyingine utakiona cha moto
 
Mimi mtu wa nyanda za juu kusini kwetu kura tunasema kula hatuna rrrr habari tunasema habali kama unashindwa kujadiliana.na.mimi mchina ,mhindi utaweza kumwelewa jibu hoja acha visingizio mkuu
Wewe wakuja jifunze Kiswahili kwanza.
 
Mahali inaongeza nguvu ya utawala wa mwanamme kwa mwanamke

Mahali inakupa mamlaka ya kuwa mume halali au kamili mbele ya wazazi na jamii

Mahali inakuganya ww mwaname uwe na uchungu na mkeo pia naongoza dhamani ya mwanamke

Ndio maana mwanamke uliemlipia mahali kun tofauti kubwa sana na mwanamke usiemlipia mahali
Wewe jifunze tofauti ya mahali na mahari kwanza kabla ya kuparamia hoja za kifalsafa ambazo zimekuzidi kimo.
 
Huo ni mfumodume tu, kwani mwanamme halelewi?

Huu ni utamaduni wa kumuuza mwanamke, kumfanya bidhaa. Ni utamaduni unaoshusha utu wa mwanamke.

Ndiyo maana wanaume wengi wa Kiafrika wanamuona mwanamke ni kama mali yao.

Wanaona wamemnunua kwa mahari ati.
Na ambao mwanamke anamlipia mwanaume mahari inakuaje
 
Kusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye.

Basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote, na baada ya msiba kuisha ikabidi mambo mengine yaendelee ikiwepo kikao kuyahusu maisha yangu na yeye lakini kwa busara zao wakaniambia niende nikapambane siku nikipata kidogo niende nacho ili wakanitajie rasmi kiasi cha mahari,
Aisee mnapatikana wapi Nije nijifunze kuoa bila mahali
 
Wewe jifunze tofauti ya mahali na mahari kwanza kabla ya kuparamia hoja za kifalsafa ambazo zimekuzidi kimo.
Hakuna Cha falsafa wala mtihani wa kiswahili necta mahari ni Utamaduni wa kiafrika huandikwa kwa kilugha ,mahari haindikwi kwa kiswahili ,kiswahili ni lugha ya taifa hakuna kabila linaongea kiswahili wewe ndio unajifanya mzamivu endelea na ulingistic mambo ya mila na tamaduni za kuona Tz na Africa huyajui umuhimu na maudhui yake
 
Mahari ni tamaduni yetu pendwa
wala si utumwa
wala si kumnunua mwanamke

Mahari ni heshima kama zawadi iwa familia. Ya kukutunzia mke wako. .

Mahari haiko Africa tu, ipo kwenye jamii nyingi sana duniani. .

Lipa mahari Linda heshima ya mwanamke na familia yake. .
Kwani mimi sijalelewa
 
Mahari ni Utamaduni ,ina maanisha usione vyaelea vilitunzwa mpaka unakutana nae ,alizaliwa akalelewa alisomeshwa aliuguzwa alipoumwa akakua akasaidiwa aanze maisha Sasa wewe unakutana nae yupo ready na maisha labda kaanza kujitegemea na wewe tayari umeanza kujitegemea ni rahisi kusema mmepandana muanze maisha pamoja kwa tamaduni za Africa mtahesabika nyie wahuni tu mmechukuana mnafanya uzinzi tu hamtapata baraka za wazazi ne je mtoto wa watu akikufia utamzika mwenyewe ,akikuambia wazazi wake wanaumwa utaenda kuwaona wazazi wake wewe kama nani .Jamii za watu wa Ulaya na America nyingi ndio hazina hizo mambo ya mahari sababu kubwa zimekomaa na maisha ya kibepari na Serikali zao zina pesa kusaidiana mahitaji binafsi ya watu sio lazima ndugu wahusike kwa Africa tamaduni na Serikali hazijimudu kihivyo ,tamaduni za kiafrica zinaishi kindugu ,zinauguzana ,zinasaidiana zinafurahi na kuhuzunika pamoja ,harusi kwa Africa ni jambo la kindugu na kijamii ,mahari ni sehemu ya tamaduni za Africa hata kama mmeona ulaya peke yenu itawabidi mje Africa kutimiza matakwa ya kitamaduni ,hata makanisani mkitaka mjifungishe ndoa mtaulizwa kama mmemalizana na mambo ya tamaduni zenu kama mahari na wakati mwingine mahari sio lazima.pesa inaweza ambiwa lete blanket ,lete mashuka let ng'ombe ,mbuzi au kuku unajua maana yake? Vijana wengi wa siku hizi wakitajiwa hivyo husema wapigiwe hesabu hivyo vitu shs ngapi ,wazee wanaojua mila hukataa pesa hutaka kama blanket ulete blanket kwao blanket ni kumbukumbu ya kumuaga mtoto wait kuliko pesa ambayo watatumia itaisha na haitakuwa kumbukumbu nzuri ya kuagana na binti yao
Mimi sikusomeshwa na hivyo vyote?

Then utamaduni ni static ama dynamic? Ukijibu hili swali litakusaidia kueleza mada hiyo.
 
Huna hoja unataka kubeba watoto wa watu kwa mserereko wee unaejua kiswahili usipende dezo kuoa mabinti wa watu ,ajenda yako haiwezi kupata mashiko Tz na Africa nzima labda kwa waliokengeuka kama wewe
Wewe umemfanya mwanamke bidhaa ya kununuliwa, halafu hata hujui.

Ningekwambia usome hii makala hapa chini, lakini Kiswahili hujui, hivyo Kiingereza sitaki kukupa mzigo.

Ila wengine wenye uwezo wa kusoma watasoma.

Najua huwezi kuelewa falsafa kubwa, kwa sababu herufi za Kiswahili tu zinakupiga chenga.

"Nyerere describes bride price as evil in posthumous bio"
 
Mahari imepitwa na wakati.

Inashusha utu wa mwanamke, inamfanya mwanamke awe ananunuliwa kama ng'ombe.

Kitu muhimu watu wajenge familia tu.

Hiyo familia ya huyo mwanamke imeelewa hilo.

Naungana na wewe!
Kiufupi sijawahi kuzungumzia mahari na wala sitayalipa!
Kiutaratibu kwenye jamii yetu Baba ndio analipa ama ndugu! Niliwaambia ni bora nisioe kabisa kuliko kulipa mahari!
Familia ya binti ikihitaji msaada nikiwa na uwezo nitawasaidia na huwa nafanya hivyo kila mwezi angalao wanapata sukari!
Binti yao kwa kuwa sihitaji kumnunua pia yupo huru wakati wowote kurudi kwa wazazi wake kama atashindwa kwenda sambamba na principld zangu!
 
Wewe umemfanya mwanamke bidhaa ya kununuliwa, halafu hata hujui.

Ningekwambia usome hii makala hapa chini, lakini Kiswahili hujui, hivyo Kiingereza sitaki kukupa mzigo.

Ila wengine wenye uwezo wa kusoma watasoma.

Najua huwezi kuelewa falsafa kubwa, kwa sababu herufi za Kiswahili tu zinakupiga chenga.

"Nyerere describes bride price as evil in posthumous bio"
Inaonekana wewe ni wale Vijana umepitia maisha ya shida ukajisomesha.kwa mbinde ukajianzishia maisha ukakutana na msichana sampuli yako mkijanzishia maisha,mila na tamaduni potofu za kumnyanyasa mwanamke na kutengwa ndizo zinapigwa vita ,mahari sio mila potofu usichombeze tamaduni za mahari na falsafa ,mimi nimefundishwa.na ma professor wakubwa Google Prof Lankanser ndio hao walionifundisha hunidanganyi kuhusu falsafa ,falsafa .kuna mambo vigumu kuyabadilisha ,kuna jitihada nyingi zinafanyika kuhusu wanawake mfano kupandikiza mimba ,mfano mwanamke kapindikiza mimba akazaa dume huyo dume akikua atao au naye atakuwa.mgawa sperm ? Mwanaume Africa ndie anao ,mwanamke ndie anabeba mimba ana zaa ,ananyonyesha huchelewi kusema huo ni mzigo kwa mwanamke hayo ni mambo hayahitaji ufahamu.wa kifalsafa haitaji usome makala

Mke wangu ni msomi tena ni mkurugenzi wa Taasisi ya kimataifa inayotetea haki za wanawake wakati namuoa aliheshimu mila na tamaduni aliniletea taratibu za mahari tukatekeleza yeye anajua haki za wanawake kiliko wewe anashiriki vikao vya akina Mama Getruda ,Dr Nkya kama wewe unaona mahari Ni kushusha hadhi ya mwanamke wanao na wadogo zako waruhusuni waolewe bila mahari kupanga ni kuchagua,mahari sio ufalsafa mahari ni utamuduni ulianzishwa tangu enzi za akina Isaka alipoenda kumuoa Rebeka
 
Mimi sikusomeshwa na hivyo vyote?

Then utamaduni ni static ama dynamic? Ukijibu hili swali litakusaidia kueleza mada hiyo.
It's Dynamics it can be amended when it's due. Ni kawaida ya mwanadamu kupenda mabadiliko Dunia imekuwa kama.kijiji kumetomea mchanganyiko wa mila ,tamaduni na exposure ,wazungu na waafrica wanapenda kuwa Dynamics wahindi na waarabu wanapenda kuwa statics
 
Inaonekana wewe ni wale Vijana umepitia maisha ya shida ukajisomesha.kwa mbinde ukajianzishia maisha ukakutana na msichana sampuli yako mkijanzishia maisha,mila na tamaduni potofu za kumnyanyasa mwanamke na kutengwa ndizo zinapigwa vita ,mahari sio mila potofu usichombeze tamaduni za mahari na falsafa ,mimi nimefundishwa.na ma professor wakubwa Google Prof Lankanser ndio hao walionifundisha hunidanganyi kuhusu falsafa ,falsafa .kuna mambo vigumu kuyabadilisha ,kuna jitihada nyingi zinafanyika kuhusu wanawake mfano kupandikiza mimba ,mfano mwanamke kapindikiza mimba akazaa dume huyo dume akikua atao au naye atakuwa.mgawa sperm ? Mwanaume Africa ndie anao ,mwanamke ndie anabeba mimba ana zaa ,ananyonyesha huchelewi kusema huo ni mzigo kwa mwanamke hayo ni mambo hayahitaji ufahamu.wa kifalsafa haitaji usome makala

Mke wangu ni msomi tena ni mkurugenzi wa Taasisi ya kimataifa inayotetea haki za wanawake wakati namuoa aliheshimu mila na tamaduni aliniletea taratibu za mahari tukatekeleza yeye anajua haki za wanawake kiliko wewe anashiriki vikao vya akina Mama Getruda ,Dr Nkya kama wewe unaona mahari Ni kushusha hadhi ya mwanamke wanao na wadogo zako waruhusuni waolewe bila mahari kupanga ni kuchagua,mahari sio ufalsafa mahari ni utamuduni ulianzishwa tangu enzi za akina Isaka alipoenda kumuoa Rebeka
Unajuaje nimepitia maisha ya shida na nikajisomesha kwa mbinde?

Thibitisha hilo.

Wewe ni kati ya watu wasioweza kuliangalia hili jambo kifalsafa.

Unaweka personsl feelings na kufanya psychological projection, kwa kuwa unachojua wewe ni shida, una project shida kwangu.

Hakuna mtu aliyekukataza kutimiza mila zako. Tunakwambia tu kwamba mila zako zinamfanya mwanamke awe bidhaa.
 
Dah...mi bado nasubir kiaina mpaka waanze kunong'ona . 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom