Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ushakubali kuwa wewe ni bidhaa inayouzwa na kununuliwa?[emoji2956][emoji2956]Uwe na wakati mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushakubali kuwa wewe ni bidhaa inayouzwa na kununuliwa?[emoji2956][emoji2956]Uwe na wakati mzuri
Biblia ina contradictions kibao. Hivyo si kitabu cha kukiangalia kama golden source.Biblia ndio inaagiza hivyo
Kazi ya Mume kutunxa mke na familia
Biblia haipitwi na wakati hata siku moja
Kwa mujibu wako ndio nishakubali kununuliwaUshakubali kuwa wewe ni bidhaa inayouzwa na kununuliwa?
Ndoa ilianzishwa na Mungu kwenye Busyani ya Eden haukuanzishwa na logic na wala waandika vitabu vya logicBiblia ina contradictions kibao. Hivyo si kitabu cha kukiangalia kama golden source.
Kuna mabilioni ya watu hatuiamini
Zaidi, hapa umefanya logical fallacy inaitwa "appeal to authority".
Yani umekuwa kama yule askari anayeua kwa "amri kutoka juu", bila ya yeye kuweza ku justify kuua.
Hapo unatumia amri kutoka juu ambayo huwezi kuitetea tu.
![]()
Your logical fallacy is appeal to authority
You said that because an authority thinks something, it must therefore be true.yourlogicalfallacyis.com
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.Ndoa ilianzishwa na Mungu kwenye Busyani ya Eden haukuanzishwa na logic na wala waandika vitabu vya logic
Ndio maans authority ya ndoa iweje ni Mungu mwanzilishi kupitia neno lake takatifu Biblia sio hivyo vitabu vya kuokoteza majalalani vya falsafa au logic
Ukishaanza "Kwa mujibu wako" unakuwa hujakubali bado. Unakuwa unanitupia mimi habari hii.Kwa mujibu wako ndio nishakubali kununuliwa
😂😂😂Kwa mujibu wako ndioUkishaanza "Kwa mujibu wako" unakuwa hujakubali bado. Unakuwa unanitupia mimi habari hii.
Wewe mwenyewe, ushakubali kuwa wewe ni bidhaa ya kuuzwa na kununuliwa?
Na kwa mujibu wako?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wako ndio
Mungu ni Roho huthibitishwa katika roho sasa wewe kama roho ya Mungu huna huwezi jua kuwa yupo.Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Bisha.
Hata hiyo roho huwezi kuthibitisha kwamba ipo.Mungu ni Roho huthibitishwa katika roho sasa wewe kama roho ya Mungu huna huwezi jua kuwa yupo.
Kutolewa mahari ni heshimaNa kwa mujibu wako?
Kutolewa mahari ni heshima
Hata hao wanabadilika ....It's Dynamics it can be amended when it's due. Ni kawaida ya mwanadamu kupenda mabadiliko Dunia imekuwa kama.kijiji kumetomea mchanganyiko wa mila ,tamaduni na exposure ,wazungu na waafrica wanapenda kuwa Dynamics wahindi na waarabu wanapenda kuwa statics
Kaka la Kwa kulipa mahari uweke heshima kwenye familia. Hata Kama ni kidogo tuu like Bible or juzuu.Mpaka hapo utakuwa umekosea kuchunguza ukoo.
Huo ukoo maskini na haujasoma, ikitokea hivyo utakuwa umejipunguzia matatizo makubwa zaidi baadaye.
Mwanaume asiyetaka kulipa mahari anataka bure ana pepo la umaskini.Hiyo ni dalili ya kwanza ya wazi kabisa usiyohitaji nabii au mtume kutamka kuwa huyu.mwanaune asoyetaka kulipa mahari kuwa ana pepo la umaskiniMahari si heshima kwa mwanamke.
Mahari ni kumuondolea heshima mwanamke.
Unamuwekea bei mwanamke kwamba huyu thamani yake ni sawa na ng'ombe ishirini.
Na hapo mwanamme anapata sauti kwamba amemnunua mwanamke kwa ng'ombe ishirini.
Sasa wewe unakubali kumuweka mwanamke awe sawa na ng'ombe ishirini?
Hapana,Mwanaume asiyetaka kulipa mahari anataka bure ana pepo la umaskini.Hiyo ni dalili ya kwanza ya wazi kabisa usiyohitaji nabii au mtume kutamka kuwa huyu.mwanaune asoyetaka kulipa mahari kuwa ana pepo la umaskini
Hicho ni kitu cha wazi kabisa
Mimi sikubaliani na Bible wala juzuu sasa.Kaka la Kwa kulipa mahari uweke heshima kwenye familia. Hata Kama ni kidogo tuu like Bible or juzuu.
Toa.