Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

Biblia ndio inaagiza hivyo

Kazi ya Mume kutunxa mke na familia
Biblia haipitwi na wakati hata siku moja
Biblia ina contradictions kibao. Hivyo si kitabu cha kukiangalia kama golden source.

Kuna mabilioni ya watu hatuiamini

Zaidi, hapa umefanya logical fallacy inaitwa "appeal to authority".

Yani umekuwa kama yule askari anayeua kwa "amri kutoka juu", bila ya yeye kuweza ku justify kuua.

Hapo unatumia amri kutoka juu ambayo huwezi kuitetea tu.

Ndoa ilianzishwa na Mungu kwenye Busyani ya Eden haukuanzishwa na logic na wala waandika vitabu vya logic

Ndio maans authority ya ndoa iweje ni Mungu mwanzilishi kupitia neno lake takatifu Biblia sio hivyo vitabu vya kuokoteza majalalani vya falsafa au logic
 
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Bisha.
 
Kwa mujibu wako ndio nishakubali kununuliwa
Ukishaanza "Kwa mujibu wako" unakuwa hujakubali bado. Unakuwa unanitupia mimi habari hii.

Wewe mwenyewe, ushakubali kuwa wewe ni bidhaa ya kuuzwa na kununuliwa?
 
Ukishaanza "Kwa mujibu wako" unakuwa hujakubali bado. Unakuwa unanitupia mimi habari hii.

Wewe mwenyewe, ushakubali kuwa wewe ni bidhaa ya kuuzwa na kununuliwa?
😂😂😂Kwa mujibu wako ndio
 
Mungu ni Roho huthibitishwa katika roho sasa wewe kama roho ya Mungu huna huwezi jua kuwa yupo.
Hata hiyo roho huwezi kuthibitisha kwamba ipo.

Unaulizwa kuhusu uongo mmoja, unashindwa kuutetea, unaleta uongo mwingine ambao nao huwezi kuutetea.

Mpaka sasa unajiongezea mzigo wa uthibitisho tu.

1. Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
2. Huwezi kuthibitisha roho ipo.
3. Huwezi kuthibitisha Mungu ni roho.

Bisha.
 
Bride price is based on several logical fallacies.

Primarily.

1. Appeal to tradition.
2. Appeal to authority.
3. Appeal to nature.
 
Kutolewa mahari ni heshima

Kwa hiyo wanaume hawaheshimiwi?

Bride price is based on several logical fallacies.

Primarily.

1. Appeal to tradition.
2. Appeal to authority.
3. Appeal to nature.
 
Vipi kwa upande wa ndungu wa huyu mwanamke
Wazazi,wazee,bro/sist,wajomb,mashngaz,nk...

[emoji1369]hao watu wanaumuhmu sana, kwa tahadhar
Minazani ukitoa mahali inakua inakuknga sana maana chochot kile kimaweza kutokea
 
It's Dynamics it can be amended when it's due. Ni kawaida ya mwanadamu kupenda mabadiliko Dunia imekuwa kama.kijiji kumetomea mchanganyiko wa mila ,tamaduni na exposure ,wazungu na waafrica wanapenda kuwa Dynamics wahindi na waarabu wanapenda kuwa statics
Hata hao wanabadilika ....
 
Kabla wageni hawajaja hili bara la giza kulikuwa na ku sign makaratasi na harusi?

Mpango ulikuwa ni kupeleka mahari unarudi na mkeo, those were the formalities, sherehe ndo hiyo!

Ni ishara ya kuwaambia wakwe naweza kumtunza huyu (yes back then when women stayed home with their children and taught them the ways of life themselves and not leave them with strangers to learn filth).

Wala sio kumuuza na wala si ruhusa ya kwenda kumtesa mtoto wa mtu. Quite the opposite.

Sasa wametuletea harusi na sare na ukumbi na artificial flowers na msafara wa magari na make up na vikao vya harusi na event planners...... halafu Wana demonize mahari.

Me nawaambia madhara ya hii ngozi nyeusi ni hadi kwenye ubongo tuna ubongo mweusi.

Me najua I'm saving for mahari for my son. Muda ukifika wakijidai hawataki mahari basi nitanywea bia.

7GX.gif
 
Mpaka hapo utakuwa umekosea kuchunguza ukoo.

Huo ukoo maskini na haujasoma, ikitokea hivyo utakuwa umejipunguzia matatizo makubwa zaidi baadaye.
Kaka la Kwa kulipa mahari uweke heshima kwenye familia. Hata Kama ni kidogo tuu like Bible or juzuu.

Toa.
 
Mahari si heshima kwa mwanamke.

Mahari ni kumuondolea heshima mwanamke.

Unamuwekea bei mwanamke kwamba huyu thamani yake ni sawa na ng'ombe ishirini.

Na hapo mwanamme anapata sauti kwamba amemnunua mwanamke kwa ng'ombe ishirini.

Sasa wewe unakubali kumuweka mwanamke awe sawa na ng'ombe ishirini?
Mwanaume asiyetaka kulipa mahari anataka bure ana pepo la umaskini.Hiyo ni dalili ya kwanza ya wazi kabisa usiyohitaji nabii au mtume kutamka kuwa huyu.mwanaune asoyetaka kulipa mahari kuwa ana pepo la umaskini

Hicho ni kitu cha wazi kabisa
 
Hapana,

Umelazimisha. Umedogosha hoja.

Kuna hoja ya kifalsafa hujaiangalia kabisa.

Yani ume assume tu kwamba asiyetaka mahari, hataki mahari kwa sababu ni masikini.

Wakati kuna watu wana uwezo, ila wanapinga mahari kifalsafa.

Nyerere alikuwa mtoto wa Chifu, akaenda kusoma mpaka Edinburgh, akaja kuwa rais wa nchi. Hakuwa masikini.

Lakini alipinga mahari kifalsafa.

Hoja yako haina mashiko.

Soma hii habari. Soma hiyo bio ya Nyerere uelewe sababu za kifalsafa na kimantiki.

"Nyerere describes bride price as evil in posthumois bio"
 
Kaka la Kwa kulipa mahari uweke heshima kwenye familia. Hata Kama ni kidogo tuu like Bible or juzuu.

Toa.
Mimi sikubaliani na Bible wala juzuu sasa.

Na kulipa mahari naona ni sawa na kumnunua mwanamke.

Unawezaje kutenganisha kulipa mahari na kumnunua mwanamke?
 
Back
Top Bottom