Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

Hapana,

Umelazimisha. Umedogosha hoja.

Kuna hoja ya kifalsafa hujaiangalia kabisa.

Yani ume assume tu kwamba asiyetaka mahari, hataki mahari kwa sababu ni masikini.

Wakati kuna watu wana uwezo, ila wanapinga mahari kifalsafa.

Nyerere alikuwa mtoto wa Chifu, akaenda kusoma mpaka Edinburgh, akaja kuwa rais wa nchi. Hakuwa masikini.

Lakini alipinga mahari kifalsafa.

Hoja yako haina mashiko.

Soma hii habari. Soma hiyo bio ya Nyerere uelewe sababu za kifalsafa na kimantiki.

"Nyerere describes bride price as evil in posthumois bio"
Wewe na Nyerere wote mnashangaza

Kwa nini waNaume ndio muongoze kukataa kulipa mahari na sio wanawake wenyewe waolewaji ndio wakatae kulipiwa mahari

Kila ukigeuks unakuta wanaume.ndio wenye kelele ohh mahari inadhslilidha wanawake mbona wenyewe wako kimya?

Toka lini wanawake wamewachagua kuwa wasemaji wa mambo yao?

Kuwa ohh mahari mbaya.Wao wenyewe.wako kimya midume milofa kelele tu
 
Mimi na Nyerere huwezi kutuelewa katika hili. Huna uwezo huo. Kwa sababu tuna hoja za falsafa kubwa.

Kuna wanawake wengi wanakataa mahari, ila wewe kwa sababu hupo katika network ya wanawake walioelimika na kuelewa falsafa hizi, huwezi kuwajua.

Nenda Clubhouse Jumamosi katika kikao cha Vavagaa wana vipindi. Waulize hao wanawake kuhusu mahari usikie majibu yao.

Zaidi, si kila mtu anajisikia huru kutoa maoni yake, kwa kuogopa jamii itakavyomuona.

Halafu, huelewi jambo dogo tu linaloniwekea shaka kuhusu uelewa wako kijumla.

Mahari si jambo la wanawake tu, ni jambo la wanawake na wanaume. Sasa inakuwaje wanaume tukilisema, kifalsafa, unatuhoji nani katufanya tuwe wasemaji wa wanawake?

Mahari ni bei ya kumnunua mwanamke. Kiingereza wanaita "bride price".

Yani umemfanya mwanamke anakuwa na bei kama bidhaa.

Inaondoa utu wa mwanamke na kumfanya awe bidhaa.

Wengine tunapinga dhana hii. Hatutaki kumnunua mwanamke.

Ila, naelewa hii ni dhana ya falsafa kubwa ambayo watu kama mimi na Nyerere tunaielewa kirahisi.

Si dhana ambayo inaweza kueleweka na kukubalika na kila mtu.

Some people do not have the requisite wattage to understand this.

You are one of them.
 
Mahari ni bei ya kumnunua mwanamke. Kiingereza wanaita "bride price".
Achana na kingereza chako ulichosoma kwa kukariri hata bila kuelewa ulichosoma
India mahari helipad na Mwanamke sio mwanaume hivyo vi bride price vyako tupa huko

Jamii nyingi tu za Asia Mahari wanawake ndio hulipa

Mahari ni kitu Unique sio Price hata siku moja

Ndio maans kiswahili.insitwa mahari sio bei ya kununulia Mwanamke.
 
Ikitokea Sogea tukae amekufa anazikwa vipi?
 
Achana na kingereza chako ulichosoma kwa kukariri hata bila kuelewa ulichosoma
India mahari helipad na Mwanamke sio mwanaume hivyo vi bride price vyako tupa huko

Jamii nyingi tu za Asia Mahari wanawake ndio hulipa

Mahari ni kitu Unique sio Price hata siku moja

Ndio maans kiswahili.insitwa mahari sio bei ya kununulia Mwanamke.
Ni bei tu ya kumnunulia mwanamke, unaipamba kwa kuiita majina tofauti.

Kuna bei nyingi.

Mshahara ni bei ya kununua labor.

Kodi ya nyumba ni bei ya kununua ukazi ndani ya nyumba kwa wakati.

Mahari ni bei ya kumnunua mwanamke wa kumuoa.

Nauli ni bei ya kununua huduma ya kusafirishwa.

Majina tofauti, zote ni bei tu.
 
Kamtafute huyo wa kuoa bure wasio wa bure waachie wenye uwezo wa kulipa mahari
 
Kwani hujawahi tuma hata senti kwa mama yake kama sehemu ya kusaidia majukumu.

Hesabu pia ni moja ya utoaji mahari.

Ulimchukua kwa mali kauli, Hivyo unalipa kidogo kidogo.
Wangu nina watoto nae wawili na hata kwao sijafika. Mama yake ndio ananijua na alishakuja mara zote mbili binti yake alipojifungua.
Dingi tunaongea fresh kwenye simu sijawahi onana naye. Disemba hii Mungu akijalia naenda kuonana na baba mkwe.

NB: Kwao yupo alone
 
Mimi sikubaliani na Bible wala juzuu sasa.

Na kulipa mahari naona ni sawa na kumnunua mwanamke.

Unawezaje kutenganisha kulipa mahari na kumnunua mwanamke?
Yes. Unaweza kutenganisha mahari na kununua mwanamke.

Wewe unataka uchukue mwanamke bure tuu aje akuzalie watoto akuhudumie bure kabisaa?? Si dharau hizi.

Anyway mahari huwa ni Kama shukrani Kwa wazazi au walezi Kwa kukulelea mke wako.

Upo
 
Wangu nina watoto nae wawili na hata kwao sijafika. Mama yake ndio ananijua na alishakuja mara zote mbili binti yake alipojifungua.
Dingi tunaongea fresh kwenye simu sijawahi onana naye. Disemba hii Mungu akijalia naenda kuonana na baba mkwe.

NB: Kwao yupo alone
Kalipe pesa za watu
 
Yes. Unaweza kutenganisha mahari na kununua mwanamke.

Wewe unataka uchukue mwanamke bure tuu aje akuzalie watoto akuhudumie bure kabisaa?? Si dharau hizi.

Anyway mahari huwa ni Kama shukrani Kwa wazazi au walezi Kwa kukulelea mke wako.

Upo

Naona hujaelewa swali.

Hivyo hujaweza kulijibu.

Halafu unaishi katika ulimwengu wa kijima ambao mwanamke anamhudumia mwanamme.

Kama mahari ni shukrani kwa wazazi au walezi, mbona inatolewa kwa wazazi wa mwanamke tu?

Mbona hakuna kubadilishana mahari, mwanamme ashukuru wazazi wa mwanamke na mwanamke awashukuru wazazi wa mwanamme?

Kwani wazazi wa mwanamme hawastahili shukurani?
 
Hela natumaga hadi za kulimia mashamba na matibabu ya dingi mkwe, maana anasumbuliwa na miguu
Watanzania wengi hawana uwezo wa kufikiri kidhahania.

Wanafikiri ukipinga mahari, wewe ni masikini, huna pesa, ndiyo maana unapinga mahari.

Hawaelewi kwamba kuna watu wanapinga mahari kifalsafa, na wanasaidia kipesa kuliko hata hiyo hela ya mahari.

Kwa watu hawa, ukiwaambia kwamba unapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, mara moja wana assume wewe ni mweusi.

Hawaelewi kwamba hata mzungu anaweza kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya weusi, kwa sababu za kifalsafa.
 
Huyu mzee ananielewa sana maana kila akipata tatizo lazima anipigie tulisovu halafu sasa ni 7 nipo na binti yake na hajawahi hata siku.moja kunigusia kuhusu mahari. Nadhani ameshanielewa kila nafanya kwa familia yake na yangu
 
Kusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye.

Basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote, na baada ya msiba kuisha ikabidi mambo mengine yaendelee ikiwepo kikao kuyahusu maisha yangu na yeye lakini kwa busara zao wakaniambia niende nikapambane siku nikipata kidogo niende nacho ili wakanitajie rasmi kiasi cha mahari,
Kaka ni kweri ayo uyasemayo lkn kukubaliwa kupambana kwa WWE isiwe kigezo ama tiketi yakukumbusha wale walio kabidhiwa kuishi na watoto wao kushtushwa na jambo lko wawo wenyew wajibu wao wanaujua🤣
 
Huyu mzee ananielewa sana maana kila akipata tatizo lazima anipigie tulisovu halafu sasa ni 7 nipo na binti yake na hajawahi hata siku.moja kunigusia kuhusu mahari. Nadhani ameshanielewa kila nafanya kwa familia yake na yangu
Sasa unaona ulivyokuwa mtu wa msaada kwa familia? Bila mahari!

Halafu tukushushe heshima yako kubwa uliyoiweka kwa sababu hujatoa mahari tu?

Wakati kuna mjinga huko katoa mahari, anampiga mkewe kila wiki, kwa kuwa anaona kamnunua kwa mahari?

Ridiculous.
 
Back
Top Bottom