YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wewe na Nyerere wote mnashangazaHapana,
Umelazimisha. Umedogosha hoja.
Kuna hoja ya kifalsafa hujaiangalia kabisa.
Yani ume assume tu kwamba asiyetaka mahari, hataki mahari kwa sababu ni masikini.
Wakati kuna watu wana uwezo, ila wanapinga mahari kifalsafa.
Nyerere alikuwa mtoto wa Chifu, akaenda kusoma mpaka Edinburgh, akaja kuwa rais wa nchi. Hakuwa masikini.
Lakini alipinga mahari kifalsafa.
Hoja yako haina mashiko.
Soma hii habari. Soma hiyo bio ya Nyerere uelewe sababu za kifalsafa na kimantiki.
Nyerere describes bride price as ‘evil’ in Posthumous Bio
Few people know that the father of the Nation Divorced his 'First Wife' in Tabora, in 1945 even before their arranged 'Marriage!'tanzaniatimes.net
"Nyerere describes bride price as evil in posthumois bio"
Kwa nini waNaume ndio muongoze kukataa kulipa mahari na sio wanawake wenyewe waolewaji ndio wakatae kulipiwa mahari
Kila ukigeuks unakuta wanaume.ndio wenye kelele ohh mahari inadhslilidha wanawake mbona wenyewe wako kimya?
Toka lini wanawake wamewachagua kuwa wasemaji wa mambo yao?
Kuwa ohh mahari mbaya.Wao wenyewe.wako kimya midume milofa kelele tu