Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

Haya mambo huanzia kwenye mahusiano na unaishije na mkeo ww unamwambia na unamwambia madhara ya kutoshiriki tendo?

Mimi kuna kipindi nilizingua home mama mtoto wangu akakasirika sana tukaja tukayamaliza baada ya kama mwezi sasa kuendelea akawa hana mahaba mpka umshike ndio akupe nyama mixer kulala na chupi ila siku moja nikakaa weekend sehemu nikala na yeye tukaongea mengi nikamwambia hili swala la kama miezi miwili hunipi wala huniwekei mazingira ya kunipa litakucost maana na mimi natamani mtu anitege nikirudi kashaandaa mzingira kahawa kidogo msosi mezani ka movie ka kusindikiza muda usonge

Haya mambo alikua anafanya toka kitambo ila akaacha badi tuliongea na akaelewa mambo yakaendelea kama tuko peponi kijubwa sema na mwenzi wako nini unataka na yy akwambia nn anataka mambo yanaenda. Hata kama ni mfanya kazi anatakiwa arudi mapema ajue ratiba ya jioni na usiku ikoje. Mwanaume unarudi kwako hukuti mambo matamu ww basi ni zuzu popoma mmoja usie na future ya furaha
 
Kuoa gharama jaman unaoa mwanamke anaanza kutaka hela za kusuka
 
Back
Top Bottom