Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

Hili tendo kwa wanawake Huwa tunawalazimisha tu ....hata wao Huwa hawalipendi [emoji23]

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa. Kuna msemo wanasema Mwanaume anawaza akipata pesa ni namna gani aweze kuishi vizuri na mwanamke Lakini Mwanamke mawazo yake anawaza akipata ni namna gani anaweza akaishi bila mwanaume. Kwaiyo hapo utaona uwitaji wa mwanaume unamwitaji sana mwanamke lakini uwitaji wa mwanamke auwitaji sana mwanaume ndiomaana wanawake wanakubali kuolewa wakina na special reason au kesi either umri umehenda, au life gumu au anatafuta maisha ndiomaana wanaume wengi wanawahi kufa baada ya kuchuma mali

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom