Ni kweli kabisa. Kuna msemo wanasema Mwanaume anawaza akipata pesa ni namna gani aweze kuishi vizuri na mwanamke Lakini Mwanamke mawazo yake anawaza akipata ni namna gani anaweza akaishi bila mwanaume. Kwaiyo hapo utaona uwitaji wa mwanaume unamwitaji sana mwanamke lakini uwitaji wa mwanamke auwitaji sana mwanaume ndiomaana wanawake wanakubali kuolewa wakina na special reason au kesi either umri umehenda, au life gumu au anatafuta maisha ndiomaana wanaume wengi wanawahi kufa baada ya kuchuma mali