Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Nilikuja humu niondoe stress, kumbe unaweza kujikuta umeongeza baada ya kupitia post kama hii....
Be yourself brother, we are unique in nature, JPM alifikia climax but he never lived long enough to enjoy it,mshukuru MUNGU kwa kila kitu,[emoji24][emoji24]
 
Umri wako?? Tukuombee Nini?,,,,,Trako?,kazi?,mume?mtoto?

Siyo tunakuombea kumbe hats 20yrs bado haujafika

Mie nina 35yrs hapa nikifikia 45+ndiyo nikimiliki kitanda na godoro vyatosha yaani maisha nitakuwa nishayapatia.
You can't be serious [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Umenena kwa lugha ya kimbingu Sana, when I think about what happened to JPM, I fall short of breath to find the real meaning of life, after all those push ups,[emoji24][emoji24]he didn't live long enough to see the second election [emoji24][emoji24][emoji169]
 
🀣🀣🀣wewe ni muongo
Jf bwana..
 
Mtu upo hai halafu unasema huna chochote, wewe ni timamu kweli ?

Unafikiri hiyo pumzi ya uhai ni jambo dogo
Hicho ni kiburi Cha uzima brother,[emoji24][emoji24]kuna Rafiki zangu wawili,miaka mitatatu ijayo tulipanga tuje tufanye bonge la party kwa kutimiza 45yrs maana wote Born in 81, tulisema itakua 345 code party, yaani watu watatu wenye wametimiza miaka 45,.
Lakini nimebaki mwenyewe,Sam and Singa are gone,car accidents,left behind good Houses and their cars.
I wapi faida ya MAISHA haya?[emoji137][emoji137]
 
Watu wanaangalia tu material things.
 

🀣🀣🀣
 
Dah nilikua na miaka 24 wakati namaliza chuo baada ya hapo nilijiwekea target kuwa baada ya minne ntakua na kila kitu hila pilika za maisha zimenitoa Sana damu kwa kuanguka Sana kwenye mapambano haya ya maisha ila nashukuru mungu ni 30 now sijaoa, Sina gari ila namalizia kinyumba changu nianze mapambano upya ya financial freedom.
 
Kaza mkuu maisha changamoto sana
 
Sio Babu tu wa Loliondo hata Joe Biden amepata u Rais akiwa na 78yrs wakati Joseph Kabila akaupata akiwa na 31 au Obama just 44 kama sikosei au Waziri Mkuu wa Sasa wa Uingereza.
Na Valentine stresser aliukwaa uraisi akiwa na miaka 26
 
πŸ˜‚
Mfano Mimi natimiza 29 huu mwaka nina watoto watatu tayari ..mapacha wawili na mmoja kivyake nimezaa na mademu wawili tofauti. Hao mapacha wanna 5years now na huyu mwingine 3years je nimechelewa au nimewahi??
Pole sana
 
Mtoto wa kiume unalia??
 
Mii umri unakwenda sina kitu lakini pia cha kurahia zaidi sina stress..
Sijali wala nini
 
*****! Kumbe huyu mama samia ni mwanaume!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…