mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Kabisa ni muhimu mno!Wewe umeandika kitu kikubwa sana. Kufunga ni kitu muhimu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ni muhimu mno!Wewe umeandika kitu kikubwa sana. Kufunga ni kitu muhimu sana.
[emoji23][emoji23]mwee!mma po papo itoloUmri wako?? Tukuombee Nini?,,,,,Trako?,kazi?,mume?mtoto?
Siyo tunakuombea kumbe hats 20yrs bado haujafika
Mie nina 35yrs hapa nikifikia 45+ndiyo nikimiliki kitanda na godoro vyatosha yaani maisha nitakuwa nishayapatia.
Wewe ni mtu sahihi? Ukiwa mtu sahihi utaattract watu sahihi.Me nataman sana kuwa na mtoto au kuoa. Lakini bado sijapata mtu sahihi..
Kukata tamaa nidhambi mkuu tuendelee kupambana , one day yes ,mungu ni wetu soteNakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.
Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha sana na madili ya town kwahiyo kiukweli haikuwa shida kupata sehemu ya kujishikiza. Ile ajira niliifanya nikiwa na malengo ya kuja kujiajiri muda sio mrefu.
Wakati naanza kazi nikasema ndani ya miaka mitano lazima niwe na masters, nyumba nzuri, gari na ule mwaka wa sita naoa. Kwa hesabu za haraka ilikuwa nikiwa na miaka 29 niwe nimefikia hizo ndoto.
Kiukweli kwenye ile miaka mitano nilikutana na dhoruba nyingi sana ikiwemo kufeli karibu kila kitu nilichojaribu kwenye biashara kwasababu ajira niliacha ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Nakumbuka kwenye hiyo miaka mitano nilipata admission ya kusoma Masters UDSM ila changamoto ikawa ada. Kuhusu nyumba na gari nilikubaliana na ukweli kwamba haiwezekani. Nikaona nitazame suala la mke. Huko pia nilifeli.
Wakati naelekea kutimiza miaka 30 ndo angalau ramani zikaanza kunyooka. Gari nikanunua nikiwa na 33yrs ambalo sikukaa nalo sana nikauza. Nyumba bado haijaisha.
Kimsingi nakaribia 40 ila hakuna uhalisia wa zile ndoto zangu za wakati ninatoka chuo. Kwa wananchi wengi wanaona niko poa ila binafsi naona muda unazidi kuchanja mbuga na ndoto za kushika kibunda zikiwa bado kutekelezeka.
Ninawashauri wote wenye changamoto ya umri kwenda huku hawajafikia malengo wazidi kupambana. Mbona Babu wa Loliondo alitoboa akiwa kikongwe?
Pangisha nyumba iyoNoma sana, mim at 30 nina lijumba gari na familia. Ila saiv at 35 sina mia mfukoni zaid ya pumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MIAKA 33 una mtoto anaingia sekondari? mtoto wa form 1 ana 12-14 years tuseme wako ana 13 maana ake ulimpata ukiwa na 23, Ulimaliza chuo na miaka 24, kama hii sio kamba bas hongera maana ulianza mbio za vijiti mapemaNakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.
Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha sana na madili ya town kwahiyo kiukweli haikuwa shida kupata sehemu ya kujishikiza. Ile ajira niliifanya nikiwa na malengo ya kuja kujiajiri muda sio mrefu.
Wakati naanza kazi nikasema ndani ya miaka mitano lazima niwe na masters, nyumba nzuri, gari na ule mwaka wa sita naoa. Kwa hesabu za haraka ilikuwa nikiwa na miaka 29 niwe nimefikia hizo ndoto.
Kiukweli kwenye ile miaka mitano nilikutana na dhoruba nyingi sana ikiwemo kufeli karibu kila kitu nilichojaribu kwenye biashara kwasababu ajira niliacha ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Nakumbuka kwenye hiyo miaka mitano nilipata admission ya kusoma Masters UDSM ila changamoto ikawa ada. Kuhusu nyumba na gari nilikubaliana na ukweli kwamba haiwezekani. Nikaona nitazame suala la mke. Huko pia nilifeli.
Wakati naelekea kutimiza miaka 30 ndo angalau ramani zikaanza kunyooka. Gari nikanunua nikiwa na 33yrs ambalo sikukaa nalo sana nikauza. Nyumba bado haijaisha.
Kimsingi nakaribia 40 ila hakuna uhalisia wa zile ndoto zangu za wakati ninatoka chuo. Kwa wananchi wengi wanaona niko poa ila binafsi naona muda unazidi kuchanja mbuga na ndoto za kushika kibunda zikiwa bado kutekelezeka.
Ninawashauri wote wenye changamoto ya umri kwenda huku hawajafikia malengo wazidi kupambana. Mbona Babu wa Loliondo alitoboa akiwa kikongwe?
Mi uliniacha kwani😭Me nataman sana kuwa na mtoto au kuoa. Lakini bado sijapata mtu sahihi..
Kuna sehemu nimeandika kwamba nina mtoto?MIAKA 33 una mtoto anaingia sekondari? mtoto wa form 1 ana 12-14 years tuseme wako ana 13 maana ake ulimpata ukiwa na 23, Ulimaliza chuo na miaka 24, kama hii sio kamba bas hongera maana ulianza mbio za vijiti mapema
😃😃Mi uliniacha kwani😭
Acha ufara watu hawana hata kiwanja we nyumba mbili unaona hujafanikiwaMm nna nyumba mbili but najiona bado sijafanikiwa ivi nifanye nn jmn
Mtu unapambana ila mbele huoniMkuu wewe upo mbali, na una asset kadhaa nzuri tu.. kuna wengine binafsi nawafahamu acha tu, haya maisha si mchezo Mungu atufanyie wepesi tu ila kwa ground mambo magumu sana mzee
Na ukicheki kilometa zinakimbia tu, jumlisha na presha ya madogo wanaoibuka na pesa za maana, sio poa unadata hivi hiviMtu unapambana ila mbele huoni
Life begins at 40, brother keep on working hard, always unplanned tend to happen,be strong and courageous you will make it and be happy again [emoji137][emoji137]Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai.