Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Bora usiwe na chochote ila una uhakika wa kula ,nje na hapo utaona afadhali yao marehemu wamekimbia shida za dunia,njaa kali kweli kweli
 
Mimi nina miaka 23 nina gari.Nina watoto watatu nimeoa na ramadhani ikiisha naongeza mke wa pili…Ila sijajenga hata kiwanja sina.Sina stress
 
Back
Top Bottom