mfwende sawadogo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 2,466 Reaction score 5,659 Apr 18, 2023 #241 Bora usiwe na chochote ila una uhakika wa kula ,nje na hapo utaona afadhali yao marehemu wamekimbia shida za dunia,njaa kali kweli kweli
Bora usiwe na chochote ila una uhakika wa kula ,nje na hapo utaona afadhali yao marehemu wamekimbia shida za dunia,njaa kali kweli kweli
L Lukaku marata JF-Expert Member Joined Dec 4, 2019 Posts 449 Reaction score 752 Apr 18, 2023 #242 Mimi nina miaka 23 nina gari.Nina watoto watatu nimeoa na ramadhani ikiisha naongeza mke wa pili…Ila sijajenga hata kiwanja sina.Sina stress
Mimi nina miaka 23 nina gari.Nina watoto watatu nimeoa na ramadhani ikiisha naongeza mke wa pili…Ila sijajenga hata kiwanja sina.Sina stress