Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

AIBU NA INASIKITISHA SANA SANA, BINASFI NAWAZA HATA ULINZI WA RAIS WETU HAUKO SALAMA KABISA PALE IKULU YA MAMBO SIMPLE SIMPLE TU KHAAA!!!!!!!!! Juzi napita pale kwenye gate la Magogoni naona BOBABODA imebeba Matairi mapya ya gari ina fanya delivery kweli ? Kwani nani anasimamia protocols STATE HOUSE?
 
Na huyo aliyefunikwa mwavuli Kama malkia ni nani?
 

Attachments

  • 20221107_090255.jpg
    66.1 KB · Views: 2
Ni wa Tz mkuu, tena ndio wenye kazi zao lakini nilishangaa sana!
Wao wasikie wananchi wanaandamana kwa amani ndio 'wanaingia kazini'
 
 
Nchi yetu inautulivu na amani tele Jeshi letu la wana maji lipo ni mda sasa wa viongozi pia kuangalia namna jeshi lipewe bajeti ya uokoaji maana wao ndo wanaujuzi ...Tatizo kubwa nchi hii kujuana na u ccm ndo unatuangusha.

Ni aibu sehem km kwa mkuu wa mkoa na wilaya kuna gari za bei kubwa hata nane ama kumi ila tunakosa gari ama vifaaa vya uokoaji hata magari ya kuzima moto hii ni aibu.

Kingine vitu vinavyo husiana na kuokoa maisha ya watu viingizwe bila kodi hata mashirika ama watu binafsi waweze kununua..Mm nilishangaa siku moja dada yetu flavian matata alikua anaelezea alivo pata changamoto ya kuingiza life jacket eti atoe kodi wakati yy aliguswa kusaidia jamii maana alimpoteza mama yake kwenye mv bukoba...Tuna serikali ya ovyo sana tunaacha wapuuuzi wanaiba mabilion ya hela ila tunakomaa kuweka makodi kwenye vyombo vinavyoweza kuokoa maisha yetu[emoji24][emoji24]
 
Hao huwa hawaendi bila amri toka kwa mkuu wao, inawezekana ndio walikuwa wanaisubiri.

Hata hivyo, baadae wanajeshi waliungana na raia kuivuta ndege iliyopata ajali.
Kama ni kweli basi wanajeshi ni watu malofa zaidi duniani
 
Hao ni makada wa CCM, kazi yao ni kuhakikisha kuwa CCM inaendelea kubaki madarakani hayo mengine hayawahusu
 

Halafu utashanga itakapofika uchaguzi wa 2025, watakavyojazana Pemba na Unguja kwenda kutisha raia na kuwapiga kisa uchaguzi. Mimi huwa nawaona Kama mazombie
 
Kuna yule sijui ni nani kashikiwa na mwamvuli...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege, au Kuna mahala tumekuwa fixed???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…