Daah! Hatari sanaWatapitwa na trends mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! Hatari sanaWatapitwa na trends mkuu
Ndo Tanzania yetu hii mkuuDaah! Hatari sana
Tatizo ni kwamba Most of graduates tunashindwa kuwa wabunifu,katika kipindi hiki ambacho hata wafanyabiashara hali sio nzuri sana, ni lazima nasisi graduates tutumie akili nyingi pia kwenye kutafuta kazI hasa kama hauna connection. Tunalalamika kwamba kazi zinatolewa kindugu au kirafiki lakini ukijiuliza tu mwenyewe Mfano wewe ndo boss na unatafuta mfanyakazi,anatokea graduate wa kwanza anatafuta kazi lakini humfahamu kabisa,upande wa pili anatokea rafiki yako unaemwamini anakwambia anamfahamu graduate ambae anachapa kazi,muaminifu na pia anawafahamu mpaka wazazi wake,kama wewe ndo boss utamchukua mfanyakazi yupi katika position hiyo ya kazi? DIRECTLY wengi watamchagua huyu wa pili maana hata kama ataleta uharibifu wowote inakuwa rahisi kumpata maana vijana wa sasa hivi nao hatueleweki,Kwa hiyo kwa sisi ambao hatuna connection ni lazima kuwa na vitu vya ziada na pia kuwa ubunifu ili kupata kazi.Kutokana hili Tatizo la Ajira kuzidi kuongeza hapa Nchi nakuacha baadhi ya Graduate wakizagaa tu mtaani ,kuzulula mtaani , kukaa nyumbani tu naomba mtusaidie kutupa njia au mbinu mlizotumia kuweza kujiajiri
Graduate wengi sana wapo mtaani kwa sasa hawajaweza kujiajiri , wengine bado wanasumbuliwa na mawazo (stress) zaidi ya mwaka wa tatu sasa hivi je nyie mlioweza kujiajiri mlianzaje hadi mkafanyikiwa kujiajiri ?
Ni njia (mbinu) gani mlitumia hadi mkaweza kujiajiri?
++Kama vile kupata mtaji(mlianza na mtaji wa shingapi?)
++Biashara mlizo anzanazo
+++Changamoto
+++ kukwepa aibu na mengineyoo
Naomba mtuambie jinsi mlivyo fanya hili litasaidia sana graduate waweze kupata fikira mpya na waweze kujiajiri huku wanatafuta ajira wengine wajiajiri kabisa kuliko kukaa tu nyumbani , kuzulula mtaani, kushinda kwenye mitandaoni.
Waingie kwenye hii link: http://www.sfi4.com/19890589/sayingKutokana hili Tatizo la Ajira kuzidi kuongeza hapa Nchi nakuacha baadhi ya Graduate wakizagaa tu mtaani ,kuzulula mtaani , kukaa nyumbani tu naomba mtusaidie kutupa njia au mbinu mlizotumia kuweza kujiajiri
Graduate wengi sana wapo mtaani kwa sasa hawajaweza kujiajiri , wengine bado wanasumbuliwa na mawazo (stress) zaidi ya mwaka wa tatu sasa hivi je nyie mlioweza kujiajiri mlianzaje hadi mkafanyikiwa kujiajiri ?
Ni njia (mbinu) gani mlitumia hadi mkaweza kujiajiri?
++Kama vile kupata mtaji(mlianza na mtaji wa shingapi?)
++Biashara mlizo anzanazo
+++Changamoto
+++ kukwepa aibu na mengineyoo
Naomba mtuambie jinsi mlivyo fanya hili litasaidia sana graduate waweze kupata fikira mpya na waweze kujiajiri huku wanatafuta ajira wengine wajiajiri kabisa kuliko kukaa tu nyumbani , kuzulula mtaani, kushinda kwenye mitandaoni.
Maelezo mazuri na makini sana.Tatizo ni kwamba Most of graduates tunashindwa kuwa wabunifu,katika kipindi hiki ambacho hata wafanyabiashara hali sio nzuri sana, ni lazima nasisi graduates tutumie akili nyingi pia kwenye kutafuta kazI hasa kama hauna connection. Tunalalamika kwamba kazi zinatolewa kindugu au kirafiki lakini ukijiuliza tu mwenyewe Mfano wewe ndo boss na unatafuta mfanyakazi,anatokea graduate wa kwanza anatafuta kazi lakini humfahamu kabisa,upande wa pili anatokea rafiki yako unaemwamini anakwambia anamfahamu graduate ambae anachapa kazi,muaminifu na pia anawafahamu mpaka wazazi wake,kama wewe ndo boss utamchukua mfanyakazi yupi katika position hiyo ya kazi? DIRECTLY wengi watamchagua huyu wa pili maana hata kama ataleta uharibifu wowote inakuwa rahisi kumpata maana vijana wa sasa hivi nao hatueleweki,Kwa hiyo kwa sisi ambao hatuna connection ni lazima kuwa na vitu vya ziada na pia kuwa ubunifu ili kupata kazi.
NJIA RAHISI NINAYO IONA ILI KUPATA KAZI HASA KWA KIPINDI HIKI.
Unajua katika hiki kipindi kila boss anapokutana na graduate anaetafuta kazi wengi wanakuwa na wasiwasi kwamba huyu mtu nikimwajiri nitamlipa kiasi gani na degree,masters au P.h.d yake.mtihani mkubwa uko hapa na maboss wengi wanashindwa kutuajiri sababu kwanza anajua kwamba hatuna experience,pili hajui tabia yako na tatu hali ya biashara pia sio nzuri sana hivyo ana wasi wasi atakulipa kiasi gani uridhike na masters yako au P.h.d yako.Njia rahisi ya kuli ruka hili kweli kama wewe ni graduate unaetafuta kazi kweli na ni mchapa kazi ni kwa kwa kujitofautisha na graduates wengine wanaohangaika na mabahasha mjini kutafuta kazi,WAKATI wao wanatafuta kazi wewe tafuta kitu unachokipenda hasa vitu ambavyo vitakupatia UJUZI na itapendeza zaidi kama ujuzi huo utakuwa katika field ambayo umeisomea.MFANO kama umesomea mambo ya Computer science na unapenda labda mambo ya kudesign Website,graphics design au software development Tafuta Kampuni zako kama tano ambazo kweli zinadeal na hizo kazi za designing,badala ya kuomba kazi wewe OMBA kujitolea katika moja ya kampuni utakayo pata kati ya hizo tano,Kuwa mbunifu pia kwenye kuomba nafasi hizi za kujitolea,Mfano unaweza ukatafuta hata watu watatu wakajifanya ni wateja labda wanataka huduma ya kutengenezewa website ukaenda na mmoja siku ya kwanza kwenye kampuni ya kwanza ukajieleza wewe ndo umemtafuta na umemleta kama mteja,baada ya siku mbili ukampeleka mteja wako wa pili anajifanya anataka kudesigniwa logo, baada ya siku nne ukampeleka mteja wa tatu alafu siku hiyo hiyo ukaacha na barua yako ya kuomba kujitolea,Haki ukifanya hivyo kwa kampuni zote tano huwezi kukosa hata moja.
WORKING PRINCIPLE
Hapa ninavyosema uombe kujitolea haitakuwa kujitolea kweli kweli kama kweli wewe una nia na ni mchapa kazi kweli kweli,kama kweli unachapa kazi haita pita hata mwezi mmoja asilimia kubwa za makampuni wataanza kukulipa japokuwa haitakuwa sawa na degree,masters au p.h.d yako.Kuomba kwa kujitolea itaifanya kampuni kuwa free kukulipa kutokana na uwezo wake maana sio kla kampuni zinauwezo wa kumlipa mfanya kazi kutokana na elimu aliyo nayo.Hata kama wasipokupa kitu komaa maana UJUZI utakaoupata ndio muhimu kuliko hata mshahara ambao wangekulipa kwa elimu uliyo nayo.Njia pekee ya kutukomboa sisi kama graduates sio kupata KAZI bali kuwa na UJUZI,Baada ya muda ukiona umeiva vizuri na pesa wanayokulipa hauridhishwi nayo YOU CAN MOVE ON na kuanza kufanya hizo shuguli mwenyewe.KIUKWELI biashara unayoweza kuianza bila ya kuwa na mtaji kabisa ni kwa kuwa na ujuzi maana EVEN if utapewa mamilioni ya fedha uanzishe biashara labda ya kuuza products,huwezi kuwa na uhakika 100 percent maana biashara pia zinaweza kufa muda wowote,cha kujiuliza utafanya nini baaada ya biashara kufa?UJUZI ni security yako milele na hakuna yeyote anaeweza kuuchukua au kuku nyang'anya,LET US BE CREATIVE.
Umenena vyema mkuuTatizo ni kwamba Most of graduates tunashindwa kuwa wabunifu,katika kipindi hiki ambacho hata wafanyabiashara hali sio nzuri sana, ni lazima nasisi graduates tutumie akili nyingi pia kwenye kutafuta kazI hasa kama hauna connection. Tunalalamika kwamba kazi zinatolewa kindugu au kirafiki lakini ukijiuliza tu mwenyewe Mfano wewe ndo boss na unatafuta mfanyakazi,anatokea graduate wa kwanza anatafuta kazi lakini humfahamu kabisa,upande wa pili anatokea rafiki yako unaemwamini anakwambia anamfahamu graduate ambae anachapa kazi,muaminifu na pia anawafahamu mpaka wazazi wake,kama wewe ndo boss utamchukua mfanyakazi yupi katika position hiyo ya kazi? DIRECTLY wengi watamchagua huyu wa pili maana hata kama ataleta uharibifu wowote inakuwa rahisi kumpata maana vijana wa sasa hivi nao hatueleweki,Kwa hiyo kwa sisi ambao hatuna connection ni lazima kuwa na vitu vya ziada na pia kuwa ubunifu ili kupata kazi.
NJIA RAHISI NINAYO IONA ILI KUPATA KAZI HASA KWA KIPINDI HIKI.
Unajua katika hiki kipindi kila boss anapokutana na graduate anaetafuta kazi wengi wanakuwa na wasiwasi kwamba huyu mtu nikimwajiri nitamlipa kiasi gani na degree,masters au P.h.d yake.mtihani mkubwa uko hapa na maboss wengi wanashindwa kutuajiri sababu kwanza anajua kwamba hatuna experience,pili hajui tabia yako na tatu hali ya biashara pia sio nzuri sana hivyo ana wasi wasi atakulipa kiasi gani uridhike na masters yako au P.h.d yako.Njia rahisi ya kuli ruka hili kweli kama wewe ni graduate unaetafuta kazi kweli na ni mchapa kazi ni kwa kwa kujitofautisha na graduates wengine wanaohangaika na mabahasha mjini kutafuta kazi,WAKATI wao wanatafuta kazi wewe tafuta kitu unachokipenda hasa vitu ambavyo vitakupatia UJUZI na itapendeza zaidi kama ujuzi huo utakuwa katika field ambayo umeisomea.MFANO kama umesomea mambo ya Computer science na unapenda labda mambo ya kudesign Website,graphics design au software development Tafuta Kampuni zako kama tano ambazo kweli zinadeal na hizo kazi za designing,badala ya kuomba kazi wewe OMBA kujitolea katika moja ya kampuni utakayo pata kati ya hizo tano,Kuwa mbunifu pia kwenye kuomba nafasi hizi za kujitolea,Mfano unaweza ukatafuta hata watu watatu wakajifanya ni wateja labda wanataka huduma ya kutengenezewa website ukaenda na mmoja siku ya kwanza kwenye kampuni ya kwanza ukajieleza wewe ndo umemtafuta na umemleta kama mteja,baada ya siku mbili ukampeleka mteja wako wa pili anajifanya anataka kudesigniwa logo, baada ya siku nne ukampeleka mteja wa tatu alafu siku hiyo hiyo ukaacha na barua yako ya kuomba kujitolea,Haki ukifanya hivyo kwa kampuni zote tano huwezi kukosa hata moja.
WORKING PRINCIPLE
Hapa ninavyosema uombe kujitolea haitakuwa kujitolea kweli kweli kama kweli wewe una nia na ni mchapa kazi kweli kweli,kama kweli unachapa kazi haita pita hata mwezi mmoja asilimia kubwa za makampuni wataanza kukulipa japokuwa haitakuwa sawa na degree,masters au p.h.d yako.Kuomba kwa kujitolea itaifanya kampuni kuwa free kukulipa kutokana na uwezo wake maana sio kla kampuni zinauwezo wa kumlipa mfanya kazi kutokana na elimu aliyo nayo.Hata kama wasipokupa kitu komaa maana UJUZI utakaoupata ndio muhimu kuliko hata mshahara ambao wangekulipa kwa elimu uliyo nayo.Njia pekee ya kutukomboa sisi kama graduates sio kupata KAZI bali kuwa na UJUZI,Baada ya muda ukiona umeiva vizuri na pesa wanayokulipa hauridhishwi nayo YOU CAN MOVE ON na kuanza kufanya hizo shuguli mwenyewe.KIUKWELI biashara unayoweza kuianza bila ya kuwa na mtaji kabisa ni kwa kuwa na ujuzi maana EVEN if utapewa mamilioni ya fedha uanzishe biashara labda ya kuuza products,huwezi kuwa na uhakika 100 percent maana biashara pia zinaweza kufa muda wowote,cha kujiuliza utafanya nini baaada ya biashara kufa?UJUZI ni security yako milele na hakuna yeyote anaeweza kuuchukua au kuku nyang'anya,LET US BE CREATIVE.
price fluctuation sio jambo jipya. Price katka mazao ya shamban zmekua zkibadilika kutokana na huitaji na usambazajiKilimo Sikuhizi ni Kama kubet due to the price fluctuation na ukizingatia graduates wana low capital na experienced. Kwa wanaoweza wafanye ila kama hujui chochote kuhusu Kilimo Anza kufanya research kwanza Ndo ukalime na ujipange Laa sivyo hatari
sio kwelmkiwa vyuoni mnabetua sana watu kwa kujiona nyie ndo nyie ndo maana mnaona aibu kujimix.
Nilipomaliza chuo sikua na mishe ya kufanya home..nikawaza nifanye Nini ili nitoke na kudanga siwezi.
Nikakumbuka Nina accnt ya insta yenye followers 2000 ..nikafikiria changamoto inayowasumbua wanawake hasa kwenye ngozi zao nikapata jibu (strechmark).
Nikakngia Google nikagoogle picha ya mtu mwenye michirizi (before&after) nikaipost ile picha na tumaelezo tudogo..namshukuru Mungu nilipata wateja Kama watano hivi wawili wa dar watatu wa mikoani
Wale wa mikoani wakanitumia pesa na pesa hiyo ndio ilikua mtaji wa kununulia chupa na malighafi.
Nikatengeneza bidhaa nikawatumia wa mkoani na dar nikawepelekea walipo..Safari yangu ya ujasiriamali ilianzia hapo na hadi Sasa naendelea nayo hata nimesahau Kama nilisomaga chuo.
Yes nilijifunza youtubeUlikuwa unafahamu namna ya kutengeza hizo bidhaa?
Uko vizuri bby, nakukubali.Nilipomaliza chuo sikua na mishe ya kufanya home..nikawaza nifanye Nini ili nitoke na kudanga siwezi.
Nikakumbuka Nina accnt ya insta yenye followers 2000 ..nikafikiria changamoto inayowasumbua wanawake hasa kwenye ngozi zao nikapata jibu (strechmark).
Nikakngia Google nikagoogle picha ya mtu mwenye michirizi (before&after) nikaipost ile picha na tumaelezo tudogo..namshukuru Mungu nilipata wateja Kama watano hivi wawili wa dar watatu wa mikoani
Wale wa mikoani wakanitumia pesa na pesa hiyo ndio ilikua mtaji wa kununulia chupa na malighafi.
Nikatengeneza bidhaa nikawatumia wa mkoani na dar nikawepelekea walipo..Safari yangu ya ujasiriamali ilianzia hapo na hadi Sasa naendelea nayo hata nimesahau Kama nilisomaga chuo.
Kila mwanachuo huoitia hatua hio unge wasaidia kwa kujibu hilo swali juu ingefaa sanamkiwa vyuoni mnabetua sana watu kwa kujiona nyie ndo nyie ndo maana mnaona aibu kujimix.
unaweza thibitisha madai yako kwa document maana graduate wengi hasa kwa vyuo vya Dar wakimaliza chuo hawaendi kwao wala hawarudishi walipopanga ili waendelee kujichanganya town na kutafuta michongo yankufanya ilo la kwako la instagram sijui uliliona wapiWapuuzi sana hawa graduates. Yaani wanataka maisha ya kukaa mjini ili washinde Instagram
Nilimaliza chuo mwaka 2011 kozi ya kilimo, nilikuwa na ndoto nyingi za kupata ajira ila nilikaa mtaani bila kupata kazi yoyote, mwisho wa siku nilikubali matokeo nikahamia plan B, nikajiingiza kwenye kilimo, nilipata kibarua nikawa nalipwa laki moja kwa mwezi ila kukawa na changamoto unaweza kukaa mpaka miezi minne hujalipwa mshahahara ila ukija kulipwa unalipwa miezi yote minne, nilijibana nikabahatika kununua shamba la ekari Tatu. Nikahamia rasmi kwenye kilimo nikaanza kupanda michungwa kwani niko muheza Tanga. Mwaka 2015 nikapata ajira ya mkataba ya miaka minne nikawa nalipwa laki mbili na nusu, nilijibana kwenye mshahahara nikawa naendeleza shamba langu la michungwa. Mwaka huu nimemaliza mkataba kazini nilifanikiwa ku save laki Nane nimenunua laini ya Tigo pesa nimepangisha frame naendeleza na biashara japo kwa Tabu ila shamba Kuna machungwa tayari ambayo nikiuza sitakosa kama mil 1.5 hapo nitaendeleza biashara yangu kwa raha na naamini baada ya miaka miwili sitakuwa na ndoto ya kutafuta ajira
Ulifanya mazao gani mkuu,nina tamani sana kufanya biashara ya mazao ili sijui nianzie wapi?Mzee mimi niliajiriwa na private company nimefanya kazi kama miaka 3 hivi ila hali ikazidi kuwa mbaya, baadaye nikapiga kazi chini nikaanza biashara ya mazao nilipiga root moja kisha wahindi wakashusha bei nikaachana nayo nikaanzisha biashara nyingine nilisota kama miezi 9 hivi mambo yakaanza kujiset yenyewe ila changamoto kuu ilikuwa capital.