Huu ujinga ndiyo sitaki kuusikia. Na kama kweli wewe ndiye msomi basi taifa limekufa hili. Unaanza kuuliza utalimia nn? Unauliza utang'oa vipi visiki shambani?Sijui km uko serious..labda wakalimie kenya..kilimo cha Tanzania kina changamoto nyingi sana pia inataka mtaji mnene...mnasemaga tu mapori yamejzana manyara atalimia nn??kuandaa shamba lazima uwe na walu 1m..labda ukute shamba halin visiki...kulimisha tu ni 50000\...hizo hela za vibarua wanapata wpi??
Mbegu je bora wanasidiwa na nan.....hap mie nasemea kilimo biashara
Huyo bibi na babu yako mpk leo wamekuwa wazee nani amekuwa akiwafanyia hizo kazi? Sasa wewe una kitu cha ziada "elimu" dhidi ya hao bibi na babu zako. Unashindwa vipi kuishi kwa kilimo?
Kwahiyo unataka upewe ajira ya mshahara wa laki 2 katikati ya jiji ama mji? Ambapo utaishia kuishi kwa kukopa kopa unga kwenye maduka ya Mangi. Acha ujinga kilimo kinalipa, ndiyo maana 80% ya watanzania wanakitegemea. Wewe msomi gani unakiogopa kilimo?
Umenichefua wewe!!