Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

Tatizo ni kwamba Most of graduates tunashindwa kuwa wabunifu,katika kipindi hiki ambacho hata wafanyabiashara hali sio nzuri sana, ni lazima nasisi graduates tutumie akili nyingi pia kwenye kutafuta kazI hasa kama hauna connection. Tunalalamika kwamba kazi zinatolewa kindugu au kirafiki lakini ukijiuliza tu mwenyewe Mfano wewe ndo boss na unatafuta mfanyakazi,anatokea graduate wa kwanza anatafuta kazi lakini humfahamu kabisa,upande wa pili anatokea rafiki yako unaemwamini anakwambia anamfahamu graduate ambae anachapa kazi,muaminifu na pia anawafahamu mpaka wazazi wake,kama wewe ndo boss utamchukua mfanyakazi yupi katika position hiyo ya kazi? DIRECTLY wengi watamchagua huyu wa pili maana hata kama ataleta uharibifu wowote inakuwa rahisi kumpata maana vijana wa sasa hivi nao hatueleweki,Kwa hiyo kwa sisi ambao hatuna connection ni lazima kuwa na vitu vya ziada na pia kuwa ubunifu ili kupata kazi.
NJIA RAHISI NINAYO IONA ILI KUPATA KAZI HASA KWA KIPINDI HIKI.
Unajua katika hiki kipindi kila boss anapokutana na graduate anaetafuta kazi wengi wanakuwa na wasiwasi kwamba huyu mtu nikimwajiri nitamlipa kiasi gani na degree,masters au P.h.d yake.mtihani mkubwa uko hapa na maboss wengi wanashindwa kutuajiri sababu kwanza anajua kwamba hatuna experience,pili hajui tabia yako na tatu hali ya biashara pia sio nzuri sana hivyo ana wasi wasi atakulipa kiasi gani uridhike na masters yako au P.h.d yako.Njia rahisi ya kuli ruka hili kweli kama wewe ni graduate unaetafuta kazi kweli na ni mchapa kazi ni kwa kwa kujitofautisha na graduates wengine wanaohangaika na mabahasha mjini kutafuta kazi,WAKATI wao wanatafuta kazi wewe tafuta kitu unachokipenda hasa vitu ambavyo vitakupatia UJUZI na itapendeza zaidi kama ujuzi huo utakuwa katika field ambayo umeisomea.MFANO kama umesomea mambo ya Computer science na unapenda labda mambo ya kudesign Website,graphics design au software development Tafuta Kampuni zako kama tano ambazo kweli zinadeal na hizo kazi za designing,badala ya kuomba kazi wewe OMBA kujitolea katika moja ya kampuni utakayo pata kati ya hizo tano,Kuwa mbunifu pia kwenye kuomba nafasi hizi za kujitolea,Mfano unaweza ukatafuta hata watu watatu wakajifanya ni wateja labda wanataka huduma ya kutengenezewa website ukaenda na mmoja siku ya kwanza kwenye kampuni ya kwanza ukajieleza wewe ndo umemtafuta na umemleta kama mteja,baada ya siku mbili ukampeleka mteja wako wa pili anajifanya anataka kudesigniwa logo, baada ya siku nne ukampeleka mteja wa tatu alafu siku hiyo hiyo ukaacha na barua yako ya kuomba kujitolea,Haki ukifanya hivyo kwa kampuni zote tano huwezi kukosa hata moja.
WORKING PRINCIPLE
Hapa ninavyosema uombe kujitolea haitakuwa kujitolea kweli kweli kama kweli wewe una nia na ni mchapa kazi kweli kweli,kama kweli unachapa kazi haita pita hata mwezi mmoja asilimia kubwa za makampuni wataanza kukulipa japokuwa haitakuwa sawa na degree,masters au p.h.d yako.Kuomba kwa kujitolea itaifanya kampuni kuwa free kukulipa kutokana na uwezo wake maana sio kla kampuni zinauwezo wa kumlipa mfanya kazi kutokana na elimu aliyo nayo.Hata kama wasipokupa kitu komaa maana UJUZI utakaoupata ndio muhimu kuliko hata mshahara ambao wangekulipa kwa elimu uliyo nayo.Njia pekee ya kutukomboa sisi kama graduates sio kupata KAZI bali kuwa na UJUZI,Baada ya muda ukiona umeiva vizuri na pesa wanayokulipa hauridhishwi nayo YOU CAN MOVE ON na kuanza kufanya hizo shuguli mwenyewe.KIUKWELI biashara unayoweza kuianza bila ya kuwa na mtaji kabisa ni kwa kuwa na ujuzi maana EVEN if utapewa mamilioni ya fedha uanzishe biashara labda ya kuuza products,huwezi kuwa na uhakika 100 percent maana biashara pia zinaweza kufa muda wowote,cha kujiuliza utafanya nini baaada ya biashara kufa?UJUZI ni security yako milele na hakuna yeyote anaeweza kuuchukua au kuku nyang'anya,LET US BE CREATIVE.
Kipindi unafanya kazi ya kujitolea utakuwa unakula wapi,unalala wapi,na pesa za umeme na bili za maji utalipaje kama unafanya kaz bure???
 
hayo mashamba unafikiri yanagawiwa bure?
Nenda hata leo mikoa kama Katavi, Tabora, Tanga, n.k huko mashamba ni bureeeee.
kwa hiyo unadhani wakulima wanavyolalamikaga na kuiomba serikali iwapelekee mbolea wote ni wajinga na wavivu...
Kwahiyo huamini kwamba samadi ni mbolea ama?

Sasa hiyo elimu yako ina mchango gani kwenye maisha yako wewe? Mbona unaonekana mweupe kichwani kama theluji?

Kwahiyo wewe unachowaza ni kupewa ajira tu? Mfano ukakosa ajira kwa muongo mzima, utaendelea kufua boksa za shemeji yako hadi lini?
 
Nenda hata leo mikoa kama Katavi, Tabora, Tanga, n.k huko mashamba ni bureeeee.

Kwahiyo huamini kwamba samadi ni mbolea ama?

Sasa hiyo elimu yako ina mchango gani kwenye maisha yako wewe? Mbona unaonekana mweupe kichwani kama theluji?

Kwahiyo wewe unachowaza ni kupewa ajira tu? Mfano ukakosa ajira kwa muongo mzima, utaendelea kufua boksa za shemeji yako hadi lini?
Dogo acha dharau kwa sababu ya hicho kiajira ulichotafutiwa na mme wa dada yako....
Hujui hata mbolea ni nini na huwezi kujua hata aina za mbolea ni zipi na zinatumika katika stage ipi na ipi ya ukuaji wa mazao...uko katavi na tabora unasikia tu kuna mashamba na ninauhakika hujawahi fika...kwa hiyo unataka mtu asafiri tu kwenda huko akili zako zitakuwa zinakutuma mabasi sikuhizi yanatoa huduma za usafirishaji bure...na mtu akifika huko mashamba sikuhizi unafikiri yanakodishwa bure...huyo mtu huko anapoenda atakuwa analala vichakani bila kula...gharama zote hizo si ni mtaji tosha wa mtu kuanza kibiashara kidogo...tangu nizaliwe sijawahi ona akili makamasi kama yako dogo....na mshukuru sana shemeji yako sababu bila yeye nauhakika mpaka leo ungekuwa bado nyumbani kwenu unagombania remote sebuleni na wadogo zako....huu uzi ni wawanaume wanaotafuta maisha dogo we haukuhusu
 
Mimi nimejaribu sehemu nyingi sana, licha ya kuwa nilianza kujiajiri nikiwa chuo. Ila kuna wakati mambo yanakuwa magumu. Na kusema ukweli suala la ajira bongo ni kitendawili, wengi wanapeana na sioni kama zina future sana. Mfano, Bank Teller au Dada Muuza Vocha. Ajira zao zitakuwa replaced soon, baada ya maendeleo ya kuwepo na ATM, MAwakala na system za kujaza vocha kutumia simu/mpesa/mitandao. Kwahiyo ni kweli lazima uajiriwe kidogo upate ufahamu, ila tusipende kubweteka kama nafasi hii tumeikosa. Kwani si lazima kuajiriwa. Nikiwa na miaka 25 tayari nilijua sitokuja kuajiriwa. Na sikutaka. Ila hali mbaya, ukikosa tsh 1000 mfukoni ni kawaida kwa mjasiriamali.
 
ATM zina replace vipi bank teller?......Utatoa million. 100 kwenye ATM....Nakumbuka hiko ki mfano kilikua kwenye somo la commercer kama sio b/keeping or economics. Madogo wa siku hizi bhana you are too theoretical.
 
Nilipoamua kufanya biashara niliamua kufanya yenye risk ndogo kwasababu mtaji niliokuwa nao ni mdogo na wakuungaunga alafu sikuwa na muda wakusimamia mtaji around 700,000/= sikutaka kupoteza pesa nikafungua Video Library imekaa miezi 4 sijaambulia hata Tsh 100/= kipande ya faida nilimpa mshkaji wangu asimamie kilakitu yeye mzoefu na biashara hiyo kwenye biashara alikaa dogo basi miezi 4 sijapata hata 100/= ya kununua pipi kifua, Biashara ilikuwa ndio ipo kwenye scratch na dogo anazingua eti hakuna biashara anarudisha ufunguo ukweli biashara ilikuwa ngumu kwasababu ya competition hapo nilipo kulia kuna nyengine nyuma ndanindani kuna nyengine nyuma tena mbali kidogo kuna balabala zipo nyingi mbaya zaidi nilivyofungua tu biashara jamaa wengine wakafungua pembeni yangu hatua 15 tu za miguu alafu jamaa wana mtaji na frem mzuri kuona hali tete nikaamua niuze biashara au vitu vyote nikawa nauza kwa pressure maana nipo chuo sina pesa yaani Boom limekata nilikuwa tayari kuuza mpaka kwa 150,000/= njaa isikie tu, kuna wateja wa 350,000/= wakawa wanapiga karenda nikaona huu ujinga nawapa Golden chance mimi nimetumia 800,000/= nawapa hadi kwa 300,000/= wanajivuta nikafikiria changamoto niliyonayo pesa ya kula sina nilipo nikamwambia jamaangu ninahitaji kama 40,000/= itaweza ni push mpaka narudi Home tufungue tena sehemu nyengine akaweka bondi Computer akanitumia 40,000/= nikaishi mpaka nikarudi.

Nilivyorudi nikasaka location nzuri tukasema tuiweke hapa nilivyopata pesa nikaiweka, wakati naiweka kuna majaamaa nao hatua 10 nyingi wameweka yao yaani kwenye nyumba Hiyohiyo mimi nimechukua frem wao wamejenga kibanda nikasema hawa watakimbia wenyewe[emoji23] [emoji23] tumeanza biashara mwezi ujaisha Computer imeungua jamaa zangu wakakopa sijui wapi wakapush mpaka wakalipa, [emoji23] [emoji23] muda nao ujapita wahuni wakapita usiku wameiba fremu za mtaa mzima kwangu waliiba sabufa mwenzangu mbele mtaa uwouwo wakamkombea Computer, Sabufa, Kobe nk jamaa akafunga biashara [emoji23] wahuni sio watu basi ukizingatia biashara ndio tunaisimamisha then assert zake kubwa zinaungua na kuibiwa sikupata faida miezi kama 4 tena ila nilikuwa napata elfu kumikumi kidogo tofauti namwanzo Yule wa karibu yangu nae alikimbia mapema tu maana sisi tulikuwa tunapiga kazi sio ya kusikilizia aliishiwa upepo mapema tu akaja kubeba kibanda chake basi changamoto nyingi zimeenda zimerudi wee ila PATIENT ndio msingi mkuu sasahivi sijawa millionaire ila atleast napata pocket money hazikauki mfukoni, simuombi mtu pesa ya bando, ya chai sasahivi nimesafiri uku pesa inangia tu biashara inanirisha mpaka huku mbali market tumeikamata wateja hadi raha jumatatu ndio usiseme wanajaa ndani kama pantoni siku zinavyozidi kwenda Circle ya faida na payroll inazidi kukuwa.

Najivunia ni Biashara niliisimamisha mwenyewe kimtaji mpaka leo bila kusaidiwa na mtu hata Sh 10 licha ya changamoto zote ila kinachofanikisha mpaka leo GOOD TEAM watu ninaofanya nao kazi wamejitoa imagine Computer imeungua wamingia Risk wenyewe kukopa na kulipa wamehaso mpaka kukopeshwa sio msoto wa hapa na pale, Sabufa wameiba wameazima wanapush.

Toka nimefungua hii Biashara mpaka leo ipo ni wenzangu wanne (4) wamefunga ila mie bado ipo.

Nimejifunza
1)Patient, ndio msingi kwenye biashara bila patient hii ingekuwa ishafeli muda mrefu sana.
2)Good Team, biashara huwezifanya mwenyewe hata sikumoja ila ukifanya nawatu wawe watu wenye kujitoa na maono iyo fortune itafika mbali.
3)Mtaji, hii kitu inatesa sana sie kajamba nani.

Kingine, kwenye biashara inabidi uwe na mahesabu mimi naamini kwenye biashara ya ofisi yaani iliyokuwa na ofisi endapo una mtaji mdogo na huna muda Risk inapungua mfano umeajiriwa una mtaji mdogo 1000,000/= ukifanya biashara zisizo na ofisi kama kilimo, kuuza mazao kuna asilimia kubwa ya kuchoma pesa kuliko ukiweka kwenye ofisi kama ukifungua Juice Point ya miwa, Uwakala, Carwash....nilivyokuwa na 700,000/= mwenzangu nae alikuwa na 800,000/= akafanya kilimo kaichoma hata mwezi ujaisha ila mie mpaka leo bado inanizalishia 700,000/= yangu.
 
Hujui hata mbolea ni nini na huwezi kujua hata aina za mbolea ni zipi na zinatumika katika stage ipi na ipi ya ukuaji wa mazao.
Samadi ina virutubisho aina zote, na hivyo hutumika ktk hatua zote.

akili zako zitakuwa zinakutuma mabasi sikuhizi yanatoa huduma za usafirishaji bure...
Uza hicho kifaa chako unachotumia kuandikia upuuzi humu upate nauli ya kusafiria. Ni ujjnga kumiliki smartphone ama laptop na kila siku unajaza MBs halafu ukakosa tiketi ya basi ya sh elfu 60.

Wake up! Umri unasonga, acha kulalamika, chukua hatua

Halafu unaulizia pa kulala? Kwahiyo unataka ukalale hotel ya nyota tano? Jinga kabisa!
 
ATM zina replace vipi bank teller?......Utatoa million. 100 kwenye ATM....Nakumbuka hiko ki mfano kilikua kwenye somo la commercer kama sio b/keeping or economics. Madogo wa siku hizi bhana you are too theoretical.
je wajua kwamba kuna bank hapa bongo sku hiz unaweza ku deposit pesa kwa kutumia ATM mashne? (hapa mana yake teller hana kazi) je miaka 2 nyuma ushawahi fikiria kwamba jambo hili linawezekana??

kama ATM imesetiwa kutoa maxmum amount laki 4 je wanashindwa nn kuset itoe maxmum ya milion 100? unahs haiwezekan?

technology sio ktu simple kama unavochukulia ww yaan hapa juz juz kampun kubwa ya GOOGLE imepunguza wafanyakaz wengi sana kwa sababu kazi zao zmekuwa replaced na robots...hakuna kinachoshndikana
 
Nilipoamua kufanya biashara niliamua kufanya yenye risk ndogo kwasababu mtaji niliokuwa nao ni mdogo na wakuungaunga alafu sikuwa na muda wakusimamia mtaji around 700,000/= sikutaka kupoteza pesa nikafungua Video Library imekaa miezi 4 sijaambulia hata Tsh 100/= kipande ya faida nilimpa mshkaji wangu asimamie kilakitu yeye mzoefu na biashara hiyo kwenye biashara alikaa dogo basi miezi 4 sijapata hata 100/= ya kununua pipi kifua, Biashara ilikuwa ndio ipo kwenye scratch na dogo anazingua eti hakuna biashara anarudisha ufunguo ukweli biashara ilikuwa ngumu kwasababu ya competition hapo nilipo kulia kuna nyengine nyuma ndanindani kuna nyengine nyuma tena mbali kidogo kuna balabala zipo nyingi mbaya zaidi nilivyofungua tu biashara jamaa wengine wakafungua pembeni yangu hatua 15 tu za miguu alafu jamaa wana mtaji na frem mzuri kuona hali tete nikaamua niuze biashara au vitu vyote nikawa nauza kwa pressure maana nipo chuo sina pesa yaani Boom limekata nilikuwa tayari kuuza mpaka kwa 150,000/= njaa isikie tu, kuna wateja wa 350,000/= wakawa wanapiga karenda nikaona huu ujinga nawapa Golden chance mimi nimetumia 800,000/= nawapa hadi kwa 300,000/= wanajivuta nikafikiria changamoto niliyonayo pesa ya kula sina nilipo nikamwambia jamaangu ninahitaji kama 40,000/= itaweza ni push mpaka narudi Home tufungue tena sehemu nyengine akaweka bondi Computer akanitumia 40,000/= nikaishi mpaka nikarudi.

Nilivyorudi nikasaka location nzuri tukasema tuiweke hapa nilivyopata pesa nikaiweka, wakati naiweka kuna majaamaa nao hatua 10 nyingi wameweka yao yaani kwenye nyumba Hiyohiyo mimi nimechukua frem wao wamejenga kibanda nikasema hawa watakimbia wenyewe[emoji23] [emoji23] tumeanza biashara mwezi ujaisha Computer imeungua jamaa zangu wakakopa sijui wapi wakapush mpaka wakalipa, [emoji23] [emoji23] muda nao ujapita wahuni wakapita usiku wameiba fremu za mtaa mzima kwangu waliiba sabufa mwenzangu mbele mtaa uwouwo wakamkombea Computer, Sabufa, Kobe nk jamaa akafunga biashara [emoji23] wahuni sio watu basi ukizingatia biashara ndio tunaisimamisha then assert zake kubwa zinaungua na kuibiwa sikupata faida miezi kama 4 tena ila nilikuwa napata elfu kumikumi kidogo tofauti namwanzo Yule wa karibu yangu nae alikimbia mapema tu maana sisi tulikuwa tunapiga kazi sio ya kusikilizia aliishiwa upepo mapema tu akaja kubeba kibanda chake basi changamoto nyingi zimeenda zimerudi wee ila PATIENT ndio msingi mkuu sasahivi sijawa millionaire ila atleast napata pocket money hazikauki mfukoni, simuombi mtu pesa ya bando, ya chai sasahivi nimesafiri uku pesa inangia tu biashara inanirisha mpaka huku mbali market tumeikamata wateja hadi raha jumatatu ndio usiseme wanajaa ndani kama pantoni siku zinavyozidi kwenda Circle ya faida na payroll inazidi kukuwa.

Najivunia ni Biashara niliisimamisha mwenyewe kimtaji mpaka leo bila kusaidiwa na mtu hata Sh 10 licha ya changamoto zote ila kinachofanikisha mpaka leo GOOD TEAM watu ninaofanya nao kazi wamejitoa imagine Computer imeungua wamingia Risk wenyewe kukopa na kulipa wamehaso mpaka kukopeshwa sio msoto wa hapa na pale, Sabufa wameiba wameazima wanapush.

Toka nimefungua hii Biashara mpaka leo ipo ni wenzangu wanne (4) wamefunga ila mie bado ipo.

Nimejifunza
1)Patient, ndio msingi kwenye biashara bila patient hii ingekuwa ishafeli muda mrefu sana.
2)Good Team, biashara huwezifanya mwenyewe hata sikumoja ila ukifanya nawatu wawe watu wenye kujitoa na maono iyo fortune itafika mbali.
3)Mtaji, hii kitu inatesa sana sie kajamba nani.

Kingine, kwenye biashara inabidi uwe na mahesabu mimi naamini kwenye biashara ya ofisi yaani iliyokuwa na ofisi endapo una mtaji mdogo na huna muda Risk inapungua mfano umeajiriwa una mtaji mdogo 1000,000/= ukifanya biashara zisizo na ofisi kama kilimo, kuuza mazao kuna asilimia kubwa ya kuchoma pesa kuliko ukiweka kwenye ofisi kama ukifungua Juice Point ya miwa, Uwakala, Carwash....nilivyokuwa na 700,000/= mwenzangu nae alikuwa na 800,000/= akafanya kilimo kaichoma hata mwezi ujaisha ila mie mpaka leo bado inanizalishia 700,000/= yangu.
patient is the key
 
je wajua kwamba kuna bank hapa bongo sku hiz unaweza ku deposit pesa kwa kutumia ATM mashne? (hapa mana yake teller hana kazi) je miaka 2 nyuma ushawahi fikiria kwamba jambo hili linawezekana??

kama ATM imesetiwa kutoa maxmum amount laki 4 je wanashindwa nn kuset itoe maxmum ya milion 100? unahs haiwezekan?

technology sio ktu simple kama unavochukulia ww yaan hapa juz juz kampun kubwa ya GOOGLE imepunguza wafanyakaz wengi sana kwa sababu kazi zao zmekuwa replaced na robots...hakuna kinachoshndikana
DTB Bank tu na ina limit yake....tech ku replace human workforce kwa hapa bongo BADO....Yan level za tech like US na kwingine sisi kuja kuifikia ni kama the next 100 to 150 years.
 
Samadi ina virutubisho aina zote, na hivyo hutumika ktk hatua zote.

Uza hicho kifaa chako unachotumia kuandikia upuuzi humu upate nauli ya kusafiria. Ni ujjnga kumiliki smartphone ama laptop na kila siku unajaza MBs halafu ukakosa tiketi ya basi ya sh elfu 60.

Wake up! Umri unasonga, acha kulalamika, chukua hatua

Halafu unaulizia pa kulala? Kwahiyo unataka ukalale hotel ya nyota tano? Jinga kabisa!
Wewe kila kitu lazima uone bure sababu hujawahi hangaika kutafuta maisha...eti samadi inavirutubisho vyote,hapo unazidi kudhihirisha ni kiasi gani ulivyomtupu kichwani huelewi unachokizungumza....kwa kamasi hizi unazoandika hapa ndo mana nimekwambia hujui hata shamba linafananaje jinga kabisa wewe...mbona wewe ulishindwa kuuza kifaa chako cha mawasiliano ujiajiri mpaka mume wa dada ako akaamua kuingilia kati akakutafutia hicho kikazi kinachokupa jeuri ya kuleta pumba zako huku jamiiforums...
 
Mm boom la mwanzo kabisa (2015) first yr nikachomoa 400,000/- nzima nzima nikaituma kwa broo, baadae nikajikamua nikatuma 100,000/-

Hiyo ikaingia kwenye biashara zake.

Baadae nikiwa 2nd & 3rd year nikajikamua nika-save Kama lak 6 na yy akawa na mil 1.6(jumla 2200,000/-) tukafungua duka la kawaida mwez wa 5 kwa lengo la kuwa nikitoka chuo nalisimamia, muda huo akakaa yeye(Kaka) kwanza.

(Kumbuka ile 500,000/- ya mwanzo inazalisha kwenye business za broo)

Basi bwana, mwez wa 8/2018 nikatoka chuo, yaan nimefika siku hiyo hyo ALHAMIS nikaanza kazi.

Mtu mwingine atasema NINA BAHATI bila kujua niliji-sacrifice kias gan kutengeneza hayo mazingira ya kufika siku hyo hyo na kuanza kazi bila kuonja hata siku 1 ya kuzurura bila kazi.

Kuna kipindi nilkuwa nashindia andaz 2 au mihogo ili nisave hela.
Nilikuwa naogopa Sana maisha ya mtaami hadi Kuna kipindi nilikuwa nikiongea na broo kwenye simu anasema MBONA UNAPANIKI SANA[emoji23][emoji23][emoji23].

Nilisave had lak 8 ila zilipungua Baada ya kununua vtu fln fln Kama subwoofer(kwa kushauriana na broo) ambalo kiukwel hadi Leo linapendezesha geto
 
Mim baada ya kutoka chuo nilisota kama mwaka na nusu nikaja ajiriwa kazi ya duka mshahara 100000 nikapig kwa miezi7 nikaacha nikatafuta mkopo changanya na zilizonazo nikafungua ofisi ya Uwakala changamoto bado ikawa mtaji nikauza PC yangu na laptop bei ya hasara nikaongezea mtaji,kukuza mtaji zaidi nakawa bahali w kiwango cha PhD mpka nilipofikia malengo
 
Mm boom la mwanzo kabisa (2015) first yr nikachomoa 400,000/- nzima nzima nikaituma kwa broo, baadae nikajikamua nikatuma 100,000/-

Hiyo ikaingia kwenye biashara zake.

Baadae nikiwa 2nd & 3rd year nikajikamua nika-save Kama lak 6 na yy akawa na mil 1.6(jumla 2200,000/-) tukafungua duka la kawaida mwez wa 5 kwa lengo la kuwa nikitoka chuo nalisimamia, muda huo akakaa yeye(Kaka) kwanza.

(Kumbuka ile 500,000/- ya mwanzo inazalisha kwenye business za broo)

Basi bwana, mwez wa 8/2018 nikatoka chuo, yaan nimefika siku hiyo hyo ALHAMIS nikaanza kazi.

Mtu mwingine atasema NINA BAHATI bila kujua niliji-sacrifice kias gan kutengeneza hayo mazingira ya kufika siku hyo hyo na kuanza kazi bila kuonja hata siku 1 ya kuzurura bila kazi.

Kuna kipindi nilkuwa nashindia andaz 2 au mihogo ili nisave hela.
Nilikuwa naogopa Sana maisha ya mtaami hadi Kuna kipindi nilikuwa nikiongea na broo kwenye simu anasema MBONA UNAPANIKI SANA[emoji23][emoji23][emoji23].

Nilisave had lak 8 ila zilipungua Baada ya kununua vtu fln fln Kama subwoofer(kwa kushauriana na broo) ambalo kiukwel hadi Leo linapendezesha geto
congrants
 
Wewe kila kitu lazima uone bure sababu hujawahi hangaika kutafuta maisha...eti samadi inavirutubisho vyote,hapo unazidi kudhihirisha ni kiasi gani ulivyomtupu kichwani huelewi unachokizungumza....kwa kamasi hizi unazoandika hapa ndo mana nimekwambia hujui hata shamba linafananaje jinga kabisa wewe...mbona wewe ulishindwa kuuza kifaa chako cha mawasiliano ujiajiri mpaka mume wa dada ako akaamua kuingilia kati akakutafutia hicho kikazi kinachokupa jeuri ya kuleta pumba zako huku jamiiforums...
Nasikitika saaana ninapoona uzi huu mzuri ulionzishwa kwa nia njema na ambao ungewasaidia wengi unabadilishwa uelekeo na kuwa wa kashfa na matusi

Tafadhali wakuu, ni vyema tungejisitiri na turudi kwenye dhima ya Uzi.
 
DTB Bank tu na ina limit yake....tech ku replace human workforce kwa hapa bongo BADO....Yan level za tech like US na kwingine sisi kuja kuifikia ni kama the next 100 to 150 years.
Mkuu usijidanganye mambo yanaenda kasi sana siku izi.
 
Well, kwa sasa nimesitisha biashara hiyo kutokana na kutokuwa karibu na eneo la tukio na kiukweli napata wakati mgumu sana kumuamini mtu anifanyie biashara kama nilivokuwa nimewazoesha wateja wangu. but nina plan ya kuiendeleza kama nitapata mtu amabye atakuwa tayari kujifunza kazi kutoka kwangu na aifanye kama nilivyokuwa nikifanya mimi.
Kama lengo lako ni kufanya biashara ya Stationery tena maeneo ya chuo, unapaswa kutambua kuwa wateja wako wengi (karibia wote) ni wanafunzi, na wanafunzi wengi huwa rational, so utapaswa kujua ni bei gani utoe copy na bei gani ufanye printing.
Pia utapaswa kujua u-base kwenye hudama zipi na zipi i.e. unaweza ku-base kwenye kutoa huduma pekee au ukaweka na bidhaa pia.
Hivi bidhaa za stationery mnachukulia wapi kwa jumla ni bidhaa zipi zinatoka sana
 
Graduates nendeni mkajiajiri kwenye kilimo, acheni ubwege.

Mtaji wako mkubwa ni nguvu zako na elimu yako. Mashamba yapo ya bure kabisa ktk mikoa ya Katavi, Tanga, na Tabora. Yaani sijui mnataka nn tena?
Nilikodi shamba hekari 5
Nikalima cabbage, nikahudumia vizuri ilikuwa kilimo cha umwagiliaji

Nilimwagia
Kupiga dawa
Kuweka mbolea za viwandani
Kupalilia nk

Nilitumia/nilipoteza almost 9.7m

Zilipokomaa, soko likawa kizungumkuti, serikali inazuia wakenya kuja kununua mazao na vikwazo lukuki vya kijinga sana
Wateja niliokuwa nawategemea sana ni wakenya kwani wananunua kwa wingi na kwa bei nzuri.

hadi mvua iliponyesha zikaozea shambani zote
Sikupata hata Tsh 100

Mtu asiyelima ni kawaida kuongelea kilimo kiraisi sana lakini uhalisia hauko hivyo

Serikali inatia wananchi umasikini kwa kiwango kikubwa mno kwa matamko na makatazo ya kijinga na yasio ya kiungwana

Juzi nilimsikia Bashe akilizungumzia hili watu wanalima halafu serikali inawakataza kuuza mazao yanaharibika kama ilivyotokea pia kwenye mahindi mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Sumbawanga (Rukwa)
They don't care!!
 
Back
Top Bottom