Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Kariakoo,Hivi bidhaa za stationery mnachukulia wapi kwa jumla ni bidhaa zipi zinatoka sana
Mtaa wa Uhuru kama waelekea mtaa wa Gerezani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kariakoo,Hivi bidhaa za stationery mnachukulia wapi kwa jumla ni bidhaa zipi zinatoka sana
Nakumbuka ilikuwa 2017 mwezi wa 8...!!nilipostpone masomo baada ya kuona kuna kila dalili ya kurudi mtaani nikiwa sina kitu
Kumbuka hapo nilibakiwa na boom 1 tuuu
Nilichokifanya ni kununua diary...nkaandika business za kufanya nkiacha chuo
Kila biashara ilinicost kwenye kodi...coz nakumbuka boom ilibaki 520k
So nikakumbuka kuna frem pale hom waliitelekeza baada ya kushindwa biashara
Nikawapanga ndugu...nkampanga mzazi...nae akakubali(hapo hajui kama nmeacha chuo)
Nikaandika barua ya kuahirisha masomo
Nikauza vitu vyangu
Nkapanda ndinga kurudi town dsm
Kwenye gari nilitumia mda mwingi kuandika tactics za kuikuza biashara
Nikaingia kazini
Japo mtaji ulikuwa mdogo lakini nilijitahidi kuukuza kwa kuacha faida pia ijizungushe
Nilijinyima vingi mpk girlfriend aliniacha
Nikajitahidi kujifunza kwa wauza maduka wengine hapa jf na pia google
Taratibu mambo yameanza kunyooka
Nimepanga chumba
Vitu ndan vipo japo co vingi
Nakula nnchotaka
Na juzi BIKO wameniongezea mil.10
Kikubwa ni kuweka malengo..ukiweka anasa pemben na ukpambana...Mungu atakulipa
View attachment 1235240View attachment 1235242View attachment 1235243View attachment 1235245View attachment 1235246View attachment 1235255
Siku hizi pia unaweza kufanya online transfer ukiwa kwako huna haja ya kwenda bank. Kwa kifupi it is true ajira nyingi za kibenki zinakuwa replaced na technology. Nowdays technology ina discourage sana hard cash,we have to keep that in mind.je wajua kwamba kuna bank hapa bongo sku hiz unaweza ku deposit pesa kwa kutumia ATM mashne? (hapa mana yake teller hana kazi) je miaka 2 nyuma ushawahi fikiria kwamba jambo hili linawezekana??
kama ATM imesetiwa kutoa maxmum amount laki 4 je wanashindwa nn kuset itoe maxmum ya milion 100? unahs haiwezekan?
technology sio ktu simple kama unavochukulia ww yaan hapa juz juz kampun kubwa ya GOOGLE imepunguza wafanyakaz wengi sana kwa sababu kazi zao zmekuwa replaced na robots...hakuna kinachoshndikana
Hapa ndo serikali ya jpm inapo feli, unazuia mazao ya kilimo kwenda nje ili tuuziane sisi kwa sisi mwisho wa siku unauza kwa bei ndogo au usiuze kabisa.Nilikodi shamba hekari 5
Nikalima cabbage, nikahudumia vizuri ilikuwa kilimo cha umwagiliaji
Nilimwagia
Kupiga dawa
Kuweka mbolea za viwandani
Kupalilia nk
Nilitumia/nilipoteza almost 9.7m
Zilipokomaa, soko likawa kizungumkuti, serikali inazuia wakenya kuja kununua mazao na vikwazo lukuki vya kijinga sana
Wateja niliokuwa nawategemea sana ni wakenya kwani wananunua kwa wingi na kwa bei nzuri.
hadi mvua iliponyesha zikaozea shambani zote
Sikupata hata Tsh 100
Mtu asiyelima ni kawaida kuongelea kilimo kiraisi sana lakini uhalisia hauko hivyo
Serikali inatia wananchi umasikini kwa kiwango kikubwa mno kwa matamko na makatazo ya kijinga na yasio ya kiungwana
Juzi nilimsikia Bashe akilizungumzia hili watu wanalima halafu serikali inawakataza kuuza mazao yanaharibika kama ilivyotokea pia kwenye mahindi mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Sumbawanga (Rukwa)
They don't care!!
hongera sana mkuuMbinu kubwa niliyotumia kupata mtaji kwa upande wangu (na bado naendelea nayo) ni kufanya savings ya kila kidogo ninachopata, mfano mtaji wa kuingia nao mtaani niliupata kwa kufanya savings ya pesa ya chakula (bumu), ilikua kila bumu tunacha 250,000 tunampa mtu mmoja (waliopitia maisha ya bumu wanajua nilikua nabakiwa na kiasi gani hapa na jinsi gani sija enjoy maisha ya chuo.
nilifanikiwa kuingia mtaani na mtaji wangu mzuri tu, ( yaah kwa levo zangu ni mzuri) na kwa sasa maisha ya biashara yanaendelea japo kuna ups and down ila hizo hazinitoi kwenye FOCUS.
kuhusu kukwepa aibu kwakweli mpaka kesho sitojua nimeweza vipi, kwani katika maisha ya kawaida mimi ni mtu wa aibu kupitiliza, biashara ninayofanya muda wote inanifanya niwe na hali ya uchafu ila nimeweza kuimudu hii hali maana najua natafuta mtaji tu, si maisha yangu ya milele, nimejichanganya kijiweni na sijawahi kumsimulia mtu kwamba nina degree 😀 😀😀😀.
lahaulaah biashara ina ng'ara,
NB nimegraduate 2018 hapo mlimani hivyo sina experience saana na maisha ya mtaani.
Mimi ndo nasoma komenti nipate uzoefu hapa....Kutokana hili tatizo la ajira kuzidi kuongezeka hapa nchini nakuacha baadhi ya Graduate wakizagaa tu mtaani, kuzurula mtaani, kukaa nyumbani tu naomba mtu anisaidie kutupa njia au mbinu mlizotumia kuweza kujiajiri.
Graduate wengi sana wapo mtaani kwa sasa hawajaweza kujiajiri , wengine bado wanasumbuliwa na mawazo (stress) zaidi ya mwaka wa tatu sasa hivi je nyie mlioweza kujiajiri mlianzaje hadi mkafanyikiwa kujiajiri ?
Ni njia (mbinu) gani mlitumia hadi mkaweza kujiajiri?
++Kama vile kupata mtaji(mlianza na mtaji wa shingapi?)
++Biashara mlizo anzanazo
+++Changamoto
+++ Kukwepa aibu na mengineyoo
Naomba mtuambie jinsi mlivyo fanya hili litasaidia sana graduate waweze kupata fikira mpya na waweze kujiajiri huku wanatafuta ajira wengine wajiajiri kabisa kuliko kukaa tu nyumbani, kuzurula mtaani, kushinda kwenye mitandao.
Nilipomaliza chuo sikua na mishe ya kufanya home..nikawaza nifanye Nini ili nitoke na kudanga siwezi.
Nikakumbuka Nina accnt ya insta yenye followers 2000 ..nikafikiria changamoto inayowasumbua wanawake hasa kwenye ngozi zao nikapata jibu (strechmark).
Nikakngia Google nikagoogle picha ya mtu mwenye michirizi (before&after) nikaipost ile picha na tumaelezo tudogo..namshukuru Mungu nilipata wateja Kama watano hivi wawili wa dar watatu wa mikoani
Wale wa mikoani wakanitumia pesa na pesa hiyo ndio ilikua mtaji wa kununulia chupa na malighafi.
Nikatengeneza bidhaa nikawatumia wa mkoani na dar nikawepelekea walipo..Safari yangu ya ujasiriamali ilianzia hapo na hadi Sasa naendelea nayo hata nimesahau Kama nilisomaga chuo.
Nilikuwa nachukulia Pop In na Galaxy Computer Arusha. Kwa k uwa nilikuwa eneo la chuo sikuwa nauza bidhaa, sana sana nilikuwa nafanya printing and photocopyingHivi bidhaa za stationery mnachukulia wapi kwa jumla ni bidhaa zipi zinatoka sana
Pole sana mkuu ila ni kweli wakulima wana angushwa na serikali yenyewe kutokana na matamko yasiyo na weledi wowote.Nilikodi shamba hekari 5
Nikalima cabbage, nikahudumia vizuri ilikuwa kilimo cha umwagiliaji
Nilimwagia
Kupiga dawa
Kuweka mbolea za viwandani
Kupalilia nk
Nilitumia/nilipoteza almost 9.7m
Zilipokomaa, soko likawa kizungumkuti, serikali inazuia wakenya kuja kununua mazao na vikwazo lukuki vya kijinga sana
Wateja niliokuwa nawategemea sana ni wakenya kwani wananunua kwa wingi na kwa bei nzuri.
hadi mvua iliponyesha zikaozea shambani zote
Sikupata hata Tsh 100
Mtu asiyelima ni kawaida kuongelea kilimo kiraisi sana lakini uhalisia hauko hivyo
Serikali inatia wananchi umasikini kwa kiwango kikubwa mno kwa matamko na makatazo ya kijinga na yasio ya kiungwana
Juzi nilimsikia Bashe akilizungumzia hili watu wanalima halafu serikali inawakataza kuuza mazao yanaharibika kama ilivyotokea pia kwenye mahindi mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Sumbawanga (Rukwa)
They don't care!!
Mwenzio niligraduate la saba siyo degree, nikaanza kufanya kazi za kuuza duka, nikapata mchumba nikaolewa.
Nilianza kupika bubaragara kila jumapili na jumanne siku ya mjajaro, nikaweza kupata pesa za kununua bati. nikawa napiga konyagi maramoja kwa wiki nikaongezea kipaji.
Mme wangua alininyang'anya pesa zote akanunua pikipiki ambayo sikupanda! Akirudi magumi na matusi kuwa naenda kujioza huko wakati pesa anachukua yeye.
Yalinishinda mimi graduate wa la saba niaachika. Je, Utanitoa kwenye group lenu la wasomi na mnaoji mambafay?
Mkuu,Nilikuwa nachukulia Pop In na Galaxy Computer Arusha. Kwa k uwa nilikuwa eneo la chuo sikuwa nauza bidhaa, sana sana nilikuwa nafanya printing and photocopying
sureNilikodi shamba hekari 5
Nikalima cabbage, nikahudumia vizuri ilikuwa kilimo cha umwagiliaji
Nilimwagia
Kupiga dawa
Kuweka mbolea za viwandani
Kupalilia nk
Nilitumia/nilipoteza almost 9.7m
Zilipokomaa, soko likawa kizungumkuti, serikali inazuia wakenya kuja kununua mazao na vikwazo lukuki vya kijinga sana
Wateja niliokuwa nawategemea sana ni wakenya kwani wananunua kwa wingi na kwa bei nzuri.
hadi mvua iliponyesha zikaozea shambani zote
Sikupata hata Tsh 100
Mtu asiyelima ni kawaida kuongelea kilimo kiraisi sana lakini uhalisia hauko hivyo
Serikali inatia wananchi umasikini kwa kiwango kikubwa mno kwa matamko na makatazo ya kijinga na yasio ya kiungwana
Juzi nilimsikia Bashe akilizungumzia hili watu wanalima halafu serikali inawakataza kuuza mazao yanaharibika kama ilivyotokea pia kwenye mahindi mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Sumbawanga (Rukwa)
They don't care!!
Mimi sijui kizungu ila najua kupika na nina wajukuu utaweza?????? Hahaha I made a story of my cousin she suffered a lot but now she is strong!!!!njoo kwangu hutapata izo shida tuanze kutafuta wote mi na degree na cpa naanza biashara saivi
- Printing 100/- per page (BW), 500/- per page (Colored)Mkuu,
Unaweza nitajia bei za printing & copying (black & colored) kwa wanachuo?
Mimi sijui kizungu ila najua kupika na nina wajukuu utaweza?????? Hahaha I made a story of my cousin she suffered a lot but now she is strong!!!!
Naona hicho Kipengele cha copy (BW) nd'o kinachoumiza hicho!!!- Printing 100/- per page (BW), 500/- per page (Colored)
- Photocopy 50/- per page (BW), 500/- per page (Colored)
Nilianza na mtaji wa elfu 5 biashara yakaranga