Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

Sijui km uko serious..labda wakalimie kenya..kilimo cha Tanzania kina changamoto nyingi sana pia inataka mtaji mnene...mnasemaga tu mapori yamejzana manyara atalimia nn??kuandaa shamba lazima uwe na walu 1m..labda ukute shamba halin visiki...kulimisha tu ni 50000\...hizo hela za vibarua wanapata wpi??
Mbegu je bora wanasidiwa na nan.....hap mie nasemea kilimo biashara
Huu ujinga ndiyo sitaki kuusikia. Na kama kweli wewe ndiye msomi basi taifa limekufa hili. Unaanza kuuliza utalimia nn? Unauliza utang'oa vipi visiki shambani?

Huyo bibi na babu yako mpk leo wamekuwa wazee nani amekuwa akiwafanyia hizo kazi? Sasa wewe una kitu cha ziada "elimu" dhidi ya hao bibi na babu zako. Unashindwa vipi kuishi kwa kilimo?

Kwahiyo unataka upewe ajira ya mshahara wa laki 2 katikati ya jiji ama mji? Ambapo utaishia kuishi kwa kukopa kopa unga kwenye maduka ya Mangi. Acha ujinga kilimo kinalipa, ndiyo maana 80% ya watanzania wanakitegemea. Wewe msomi gani unakiogopa kilimo?

Umenichefua wewe!!
 
Aisee...nadhan kuna kitu unamis kutokana na comment yangu..either hujawahi hata ingia shambani..all the best
 
Tatizo mnapokuwa mashuleni na vyuoni mnawaza vitu visivyo halisi na visivyo kuwepo "utopian thinking". Unataka ukitoka chuo uanze kilimo na trekta pamoja mitambo ya umwagiliaji. Shubamiti!!
 
Hhagahha....ndo maan niksema...ww unaongelea kilimo in general..mm naongelea "kilimo biashara"...shubmiti mwenyewe na serikali yko😅
 
Mtoa post mm nitakusaidia kitu kimoja, ukitaka kuondokana na aibu nenda mbali na mkoa ulipo zaliwa/kuishi ambako hufahamiki.

Ukiwa huko utakua free kufanya mchongo wowote.
Mfano mm n graduate nimeacha kazi private nlikua nalipwa 300,000 sahizi npo mbali napiga issue ya carwash kwa mtu ili kupata experience baada ya siku chache ntakua na yangu. Carwash pays!!!
 
Mie nadhani ni woga tu tena usio na mashiko kbs..phobia za namna hii ndo maana tunafeli...why uhame mkoa?..mie nnaamini kuanza na ulicho nacho...lazima milango mingine ifunguke...woga na aibu vinawponza wengi..kila la heri
 
Mtoa post mm nitakusaidia kitu kimoja, ukitaka kuondokana na aibu nenda mbali na mkoa ulipo zaliwa/kuishi ambako hufahamiki.

Ukiwa huko utakua free kufanya mchongo wowote.
Mfano mm n graduate nimeacha kazi private nlikua nalipwa 300,000 sahizi npo mbali napiga issue ya carwash kwa mtu ili kupata experience baada ya siku chache ntakua na yangu. Carwash pays!!!
Daa Carwash pay umeniongezea [emoji91] [emoji91] mkuu.
 
Samahani kwa kucheka ila comment yako imenchekesha sn [emoji23][emoji23]
Hali ya hatari niliiona since nipo form 5 maana kampeni za kujiajiri nyiiiingi mara fursa mara malkia wa nguvu mara wakilisha.
Nikajua huko juu kishanuka maana tunayaona Nigeria na Kenya.
So kwenye kuchagua chuo nikawa makini nikapata cha home naenda hata kwa mguu.
Na hapa ndy nilifanya saving ya boom na kugraduate na kacapital
One year at street japo mambo sio poa kivile but yanaenda na kubuma damn!
 
Ubaya wanaoshaur kalime kalime, yeye kaajiriwa na hata kulima hajawai, sisi ambao tunajua kilimo na changamoto zake ndo tunajua hali halisi, yan kilimo ni kazi kama kazi zingine zilivo ni kama kuanzisha biashara ilivo, ni kwamba zinatofautiana mtaji tu ila sio kwamba mtaji hauitajiki, haya ukilima utaotesha nn kama hautanunu mbegu, iyo ela ya mbegu unapata wapi kwa iyo nguvu kazi yako. Mnachukulia poa kulima mnafikir ni kazi rahisi kama mnavoichukulia sio nyie mliokaa maofisini, shubaamit
 
Daa Carwash pay umeniongezea
emoji91.png
emoji91.png
mkuu
Hahaha umeliona hilo pia Hatari sana
 
Graduate njooni mtupe maujuzi zaidi nasi tujifunze

NB:Ila maisha haya yaani mtu unasoma then unaambiwa ajira hakuna mjiajiri
 
Ubaya wanaoshaur kalime kalime, yeye kaajiriwa na hata kulima hajawai, sisi ambao tunajua kilimo na changamoto zake ndo tunajua hali halisi, yan kilimo ni kazi kama kazi zingine zilivo ni kama kuanzisha biashara ilivo, ni kwamba zinatofautiana mtaji tu ila sio kwamba mtaji hauitajiki, haya ukilima utaotesha nn kama hautanunu mbegu, iyo ela ya mbegu unapata wapi kwa iyo nguvu kazi yako. Mnachukulia poa kulima mnafikir ni kazi rahisi kama mnavoichukulia sio nyie mliokaa maofisini, shubaamit
Kilimo sio poa we kisikie tu kwa wenzako
 
Back
Top Bottom