Hapa ndo serikali ya jpm inapo feli, unazuia mazao ya kilimo kwenda nje ili tuuziane sisi kwa sisi mwisho wa siku unauza kwa bei ndogo au usiuze kabisa.
Ujuha wa hali ya juu sana labda bashe ataweza kushawishi tuwe tunauza nje basi ttampigia kampeni awe rais 2026.
Viazi mviringo/mahind unazuia kwenda kenya hivi una akili kweli, ukiruhusu unaweka mashart utafikir mganga wa kienyeji mwisho mteja anakimbia zake.
Raha ya kilimo ni uwepo wa soko zuri hapo Graduate hawata juta kujiajir kwenye kilimo na ufugaji.