Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Anakuchezea shemeji... njoo kwangu walai utacheza mwenyewe.

Shemeji sipendi kuona unalia eti....njoo nikufute machozi
 
Inamaana wew kaz yako ni kutongoza tu kwenye mtandao
 
Huyu mtoto nataka kumchukua bwana... kanisumbua miaka mingi saana
Sawa ila naona unamwita shemeji mara unamtaka mwenyewe hii inanikumbusha wimbo wa zamani kidogo unao sema shemeji shemeji huku wa zima taa na wimbo wa sasa watoto wa mjini mnaita singeli hainaga ushemeji tunakulaga
 
hahahhahah kamuwish bday mcheza porn
ila mm hajanitongoza halaf si uliona nilivyokua nauliza espy anajua
alisema ana jambo anataka kuniambia kutokana na hii hali ya hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…