Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Mi nimekamatika mara nyingi natuma hivi vilaki kamoja viwili imekuwa kawaida wengine nawapata wengine naishia kukodoa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…