Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Iyo noma sana
 
Mie hata ukiwa upline sikupi. Nakudinya nakutapeli nasepa[emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa yangu hivi majuzi amelia sana, alitamba kwamba an import kitu kutoka Arusha.
sasa siku ya siku ikafika, kumuuliza mgeni amefika wapi, yaha ndio majibu alipewa " babe nimepanda basi asubuhi alafu nikakumbuka tuna test chuo jumatatu ikabidi nishuke" nilicheka sana maana jamaa alikuwa ametuma kilo na nusu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…