Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Daa kuna watu wana dhambii yaana mpaka kanunua boda boda kwa kuwatia watu changa LA machoo
Tena ni mtaalamu sana..hushtuki wewe...ukimpigia sm anampa demu anaongea na ww..anachofanya anaingia instagram anapata picha na video za wadada wazuri ambao huwajiwi...anajivika ID yake...ukitaka video..sijuwi kalala...anapika..sijuwi bby leo natoka niangalie nimependeza?anakuchokonoa kwa video..au pch..basi unajaa top...kumbe dume
 
Tena kuna wale wanajifanya... ohh naomba nikuombe kitu friend... Nipo hostel leo zamu yangu kulipa umeme wa luku....naona niongezee nichange..wale wote madume yale....kuna siku hao jamaa fulani wenye kazi ya kujifanya mademu kwny mitandao..walitiana MAKONDE balaa..kisa mmoja anamtuhumu mwnzie kamchukulia friend wake...anayempa pesa.. So mmoja akipata mtu anayempa pesa anakuwa msiri sana mwnzie asijuwe jina lake fb..
akijuwa anajitongozesha jamaa wanapata pesa...dunia ya leo bado kuna watu MAFALA sana...yanatoa pesa sana tu fb
 
Polen sana aisee
 
Aiseee hii kali [emoji23][emoji23]
 
Peaneni mbinu zote mjuazo ila sio vizuri kutumia picha zisizo zenu.
kuna mmoja alikua anatumia picha za mtu wa karibu yangu halafu anajinadi kikahaba.

Pia kumbukeni kuna magonjwa hatari yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.
 
Tena zamani ilikuwa safi sana...wanawake sio waongo..ukimvuta anakuja hadi kwko...tatizo lilikuwa whtsap hakuna....sasa unaweza ukachat na demu...siku ukimuona ni balaa....inabidi uweke simu silent.. Ili umkaguwe kwanza..kama ukiona ni dada yake YULE MASUDI SULUTANI(mr sura mbaya)inabidi umpite...au kama unaroho ngumu kama mimi....unamla tu kwa shingo upande..ila now whtsap ndy atleast mnaweza rushiana picha..sasa tatizo MIDUME....za ID ya kike..ndy shida ya kutongoza fb now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…