Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ndo hivyo mkuuBwana weee yahitaji uvumiivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo mkuuBwana weee yahitaji uvumiivu.
Tena ni mtaalamu sana..hushtuki wewe...ukimpigia sm anampa demu anaongea na ww..anachofanya anaingia instagram anapata picha na video za wadada wazuri ambao huwajiwi...anajivika ID yake...ukitaka video..sijuwi kalala...anapika..sijuwi bby leo natoka niangalie nimependeza?anakuchokonoa kwa video..au pch..basi unajaa top...kumbe dumeDaa kuna watu wana dhambii yaana mpaka kanunua boda boda kwa kuwatia watu changa LA machoo
Huyo mtoto ukimuona lazima utume.. Labda uwe mkora kama mimiOnyo usitume kabla hujamuona..
shunie ujue mimi nina shida na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza nna demu, pili utapeli, tatu unaweza tongoza jini.Kwanini Mkuu au unaogopa
Polen sana aiseeTena ni mtaalamu sana..hushtuki wewe...ukimpigia sm anampa demu anaongea na ww..anachofanya anaingia instagram anapata picha na video za wadada wazuri ambao huwajiwi...anajivika ID yake...ukitaka video..sijuwi kalala...anapika..sijuwi bby leo natoka niangalie nimependeza?anakuchokonoa kwa video..au pch..basi unajaa top...kumbe dume
Mtaje tu ww kidume
shida gani tena MO unataka espy anihisi vibayashunie ujue mimi nina shida na wewe
Aiseee hii kali [emoji23][emoji23]Tena kuna wale wanajifanya... ohh naomba nikuombe kitu friend... Nipo hostel leo zamu yangu kulipa umeme wa luku....naona niongezee nichange..wale wote madume yale....kuna siku hao jamaa fulani wenye kazi ya kujifanya mademu kwny mitandao..walitiana MAKONDE balaa..kisa mmoja anamtuhumu mwnzie kamchukulia friend wake...anayempa pesa.. So mmoja akipata mtu anayempa pesa anakuwa msiri sana mwnzie asijuwe jina lake fb..
akijuwa anajitongozesha jamaa wanapata pesa...dunia ya leo bado kuna watu MAFALA sana...yanatoa pesa sana tu fb
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]mbona kila siku unabadilika mpenziiii
Sasa team vibajaji mwisho wa siku mchezo uliishia vipi
ni kuhusu mimi na weweshida gani tena MO unataka espy anihisi vibaya
espy ameruhusu MOni kuhusu mimi na wewe
Shunie ,huu uzi unanifurahisha
ngoja nitulie nisome comments [emoji23]
hapana luckydube mm muoga na hela za watuShunie ,
Nikutumie nauli,
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]