Wewe unafaa kwa matumizi ya weekend, ntakutafutaMi siombagi hela mkuu!!! Ila mwanaume ashawai nilalamikia kwanini simuombi hela!!!? Alidhani kuna mtu mwingine pembeni.
relationship agreement ipo kama dushe husimama kwenye njia yakeWe umevunja 5 kwa mpigo. Kwahiyo tufanye tu wote tumeivunja, kwahiyo imeunjika si ndio?
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Oooh lkn nimeshawahiwa nimeshapelekwa na mwingine kwao
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Oooh lkn nimeshawahiwa nimeshapelekwa na mwingine kwao
vipi mndali mbona unaona aibu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
hahahha usileft bana we jikaze tu[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Nta left jf mimi,
Ngoja niitafute button ya kuleftia
Nitarudi kiangaziiiii.relationship agreement ipo kama dushe husimama kwenye njia yake
ikikiukwa halivunjwi
nahisi nitakua your romance ninja tonight
Hiyo koment imenifanya nione aibu maana imemaliza kazi ya kubembelezavipi mndali mbona unaona aibu
hahahhhNitarudi kiangaziiiii.
luckdube muelewa hana shidaHiyo koment imenifanya nione aibu maana imemaliza kazi ya kubembeleza
Lakini wanaume sisi, sasa mtu hata humjui unataka kumkatia tiketi hahahaha hivi unjua matokeo yake, kuna mengi sana yanaweza kujitokeza..... Kwanza anaweza akaja mtu usio mtarajia kwa maana ya uzuri kikaja kitu cheusiii tofauti kabisa na picha ulizoziona kwenye mtandao sasa kifuatacho kwa kuwa umemuona stendi kwa mbali basi unazima simu hahaha sasa mtu umemtoa bukoba huko teh teh amefika dar unamkimbia je anarudije sasa umezima simu hupokei hahaha, pili mtoto amekuja mpaka geto ukala mzigo mara umegonga mtoto akazima sijui unaanzia wapi hata ndugu zake huwajui huo nao ni UTEKAJI utawajibika tu....Mi kuna demu mmoja nilimpata fb akaniambia nimtumie nauli aje! Unajua nilifanyaje? Nilitafuta no ya mkatishaji ticket nikamwambia kuna mtu atakuja akifika ntakutumia hela ya malipo ya nauli na gari likianza kuondoka mpatie konda 10,000 ampe njian kwa ajili ya chakula! Manzi aligoma nikampotezea
Sawa mkuuluckdube muelewa hana shida
Baby,nitumie laki moja nije,si unajua nipo Nkasi huku.Lakini wanaume sisi, sasa mtu hata humjui unataka kumkatia tiketi hahahaha hivi unjua matokeo yake, kuna mengi sana yanaweza kujitokeza..... Kwanza anaweza akaja mtu usio mtarajia kwa maana ya uzuri kikaja kitu cheusiii tofauti kabisa na picha ulizoziona kwenye mtandao sasa kifuatacho kwa kuwa umemuona stendi kea mbali basi unazima simu hahaha sasa mtu umemtoa bukoba huko teh teh amefika dar unamkimbia je anarudije sasa umezima simu hupokei hahaha, pili mtoto amekuja mpaka geto ukala mzigo mara umegonga mtoto akazima sijui unaanzia wapi hata ndugu zake huwajui huo nao ni UTEKAJI utawajibika tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba paroko nimechekaLakini wanaume sisi, sasa mtu hata humjui unataka kumkatia tiketi hahahaha hivi unjua matokeo yake, kuna mengi sana yanaweza kujitokeza..... Kwanza anaweza akaja mtu usio mtarajia kwa maana ya uzuri kikaja kitu cheusiii tofauti kabisa na picha ulizoziona kwenye mtandao sasa kifuatacho kwa kuwa umemuona stendi kea mbali basi unazima simu hahaha sasa mtu umemtoa bukoba huko teh teh amefika dar unamkimbia je anarudije sasa umezima simu hupokei hahaha, pili mtoto amekuja mpaka geto ukala mzigo mara umegonga mtoto akazima sijui unaanzia wapi hata ndugu zake huwajui huo nao ni UTEKAJI utawajibika tu....
Shunie mi ni jeff ryderhahahha usileft bana we jikaze tu
khaaa huyo jeff ryder sitaki ata kumsikia ukufwe kabisaShunie mi ni jeff ryder
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nikubalie plz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi hujawahi kula hela ya mtu humu kweli maana sio kwa uweupo huo kwenye picha kapaja kanachungulia ahhh sister upo vizuriluckdube muelewa hana shida
tena nyie mnaojifanyaga wababe humu jukwaani ndo mnaishiaga kushikia watu mapembe tu, hata kuchinja hamchinji na pesa zinawatoka vilevile, endelea kujifariji humu jukwaani coz huko kitaa wanawake tunawafanya kitu mbaya
Baby upo wapi nije leo[emoji23]Baby,nitumie laki moja nije,si unajua nipo Nkasi huku.