Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

We umevunja 5 kwa mpigo. Kwahiyo tufanye tu wote tumeivunja, kwahiyo imeunjika si ndio?
relationship agreement ipo kama dushe husimama kwenye njia yake
ikikiukwa halivunjwi
nahisi nitakua your romance ninja tonight
 
Kuna siku nimempat mmoja tukawa tunacht kama week mbili hivi...akajifanya anakaa mbezi beach..na sijuwi kwann wanapenda kujitambulisha kwa maeneo hayo...tukapanga tuonane week end...kwny chatting yetu akasema ana boyfriend wake anampenda na kumjali sana tu na jamaa ana PESA..SANA TU.... kufika alhamisi siku mbili kabla ya kuonana week end..
akanitext kunambia ana stress sana tu...boy wake kaona sms zote tulizokuwa tunachat na wamegombana..sasa nitaweza kumhudumia wakiachana?nikajipiga kifua KIDUME cha KITANGA..kwamba haina shida..nitamgharamia yeye pamoja na KUKU wao hapo nyumbani..mtoto ukimwona ni balaa.. Hutoki hata kama... Upoje..ana umbo hatari na picha zake xa KICHOKOZI..na rangi matata sana...unapaswa kuwa na hisia kali tu...za kung,amua tofauti ya chating ya DUME na MWANAMKE..ndy utasalimika.... .wakati wote huo anajifanya atanipa namba ya simu siku atakakayo kuja kwngu..sababu jamaa yake mkali sana..na anafuatilia sm zake
.so tucht humu fb messenger... nikasema poa...nikajiona kidume.. Kupendwa na mtoto mzr kama yule..ndy hy siku ananambiya ana stress so anahitaji ku refresh mind...so anataka ku enjoy..ila hataki kwenda outing labda jamaa atamfatilia...ndy hapo akanipa namba ya simu ya tigo pesa...nimtumie pesa ya wine..na nyama...hapo hapo taa za brake zikawaka....nikamwangalia whtsap.. Kaweka picha yangu...na status nzr ya kimapenzi...UKIPATA KIPYA CHA ZAMANI TUPA KULE...akaweka na alama ya KOPA pembeni ya status...duu..nikaona hapa..pana tatizo...naibiwa straight... Nikaanza kuhisi huenda hili ndy yale madume yanayojifanya WANAWAKE..nikasita kutuma pesa..alitaka 60000""ili atulize kichwa...asimfikirie boy wake..pamoja na nauli ya bajaji atakapokuja j mosi... kwngu..nikashtuka...nikaanza kupiga namba.. Hapokei...anatuma sms messenger... Nipo na baba na mama..plz tuchat humu...sitaki wajuwe naagiza WINE..nikawa namwambiya pokea kwnz tuongee hapokei..na mm nikawa simjibu sms zake..mwisho akanambiya nakublock...umenigombanisha na boy wng aliyekuwa ananisaidia maisha yangu..na ww wale wale..achana na mm..baada ya kuona nishashtuka.... .baadae siku kama nne tano kupita..nikakutana na jamaa yule mpigaji kwa ID za kike... jamaa akanionya akanambiya kuna majina kama 7""ukiyaona fb...yawache utaumia...wote n ni MIMI..duu..nikaona sasa kama mmoja huyu ana majina 7 ya kike... kama wapo 20 MIDUME maana yake ktk friends zangu 200 kuna MIDUME yenye ID ZA KIKE 140,??nitapona kweli?dawa ni kutokutongoza tu...au umtongoze unayemjuwa ...hapo sawa...
 
Mi kuna demu mmoja nilimpata fb akaniambia nimtumie nauli aje! Unajua nilifanyaje? Nilitafuta no ya mkatishaji ticket nikamwambia kuna mtu atakuja akifika ntakutumia hela ya malipo ya nauli na gari likianza kuondoka mpatie konda 10,000 ampe njian kwa ajili ya chakula! Manzi aligoma nikampotezea
Lakini wanaume sisi, sasa mtu hata humjui unataka kumkatia tiketi hahahaha hivi unjua matokeo yake, kuna mengi sana yanaweza kujitokeza..... Kwanza anaweza akaja mtu usio mtarajia kwa maana ya uzuri kikaja kitu cheusiii tofauti kabisa na picha ulizoziona kwenye mtandao sasa kifuatacho kwa kuwa umemuona stendi kwa mbali basi unazima simu hahaha sasa mtu umemtoa bukoba huko teh teh amefika dar unamkimbia je anarudije sasa umezima simu hupokei hahaha, pili mtoto amekuja mpaka geto ukala mzigo mara umegonga mtoto akazima sijui unaanzia wapi hata ndugu zake huwajui huo nao ni UTEKAJI utawajibika tu....
 
Lakini wanaume sisi, sasa mtu hata humjui unataka kumkatia tiketi hahahaha hivi unjua matokeo yake, kuna mengi sana yanaweza kujitokeza..... Kwanza anaweza akaja mtu usio mtarajia kwa maana ya uzuri kikaja kitu cheusiii tofauti kabisa na picha ulizoziona kwenye mtandao sasa kifuatacho kwa kuwa umemuona stendi kea mbali basi unazima simu hahaha sasa mtu umemtoa bukoba huko teh teh amefika dar unamkimbia je anarudije sasa umezima simu hupokei hahaha, pili mtoto amekuja mpaka geto ukala mzigo mara umegonga mtoto akazima sijui unaanzia wapi hata ndugu zake huwajui huo nao ni UTEKAJI utawajibika tu....
Baby,nitumie laki moja nije,si unajua nipo Nkasi huku.
 
Lakini wanaume sisi, sasa mtu hata humjui unataka kumkatia tiketi hahahaha hivi unjua matokeo yake, kuna mengi sana yanaweza kujitokeza..... Kwanza anaweza akaja mtu usio mtarajia kwa maana ya uzuri kikaja kitu cheusiii tofauti kabisa na picha ulizoziona kwenye mtandao sasa kifuatacho kwa kuwa umemuona stendi kea mbali basi unazima simu hahaha sasa mtu umemtoa bukoba huko teh teh amefika dar unamkimbia je anarudije sasa umezima simu hupokei hahaha, pili mtoto amekuja mpaka geto ukala mzigo mara umegonga mtoto akazima sijui unaanzia wapi hata ndugu zake huwajui huo nao ni UTEKAJI utawajibika tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba paroko nimecheka
 
tena nyie mnaojifanyaga wababe humu jukwaani ndo mnaishiaga kushikia watu mapembe tu, hata kuchinja hamchinji na pesa zinawatoka vilevile, endelea kujifariji humu jukwaani coz huko kitaa wanawake tunawafanya kitu mbaya

Sio kujifariji au ubabe...Yaani nitumie akili, nguvu, bidii, maarifa, ujuzi, uzoevu kupata hela halafu hela nije niitoe kizembe...Never on Earth...Labda tu kama hunifahamu ndio useme hivyo!!
 
Back
Top Bottom