Wale madada wa ATCL ndo dada zetu wa Kitanzania halisi. Mwataka waweje?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Heshima kwenu wakuu,

Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.

Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?

Au unataka umuoe?

Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.

Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
IMG_20180824_184952.jpeg
 
View attachment 845966
Nukuu.

'' Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu."

Naunga hoja mkono
 
Nafikiri aliyefanya kosa la kwanza kabisa ni yule aliyepost picha za hawa akina dada watatu akidai kwamba ni miongoni mwa wahudumu wa ndege zetu za ATCL kitu ambacho hakina uthibitisho kama kweli hao wameajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo ya air hostessing/flight attendants. Kama hao ni waajiriwa wa ATCL lakini kwa kazi nyingine tofauti na ya uhudumu wa kwenye ndege hatuwatendei haki kwa kebehi tunazowatupia wao na kampuni pia.
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.

Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?

Au unataka umuoe?

Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.

Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Mbona mkuu hao wapo kama WAUGUZI???au umekosea kupost picha?!?!
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.

Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?

Au unataka umuoe?

Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.

Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Kuweka mitandaoni picha ya mtu na kumjadili si sawa kwani inaleta kadhia kwake na na watu nwanaomzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.

Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?

Au unataka umuoe?

Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.

Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
. Wanaume wenye macho makali ya kuona mwanamke mzuri na mtamu kama mimi nasema, NIPENI huyo wa kushoto. Nimempenda.
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.

Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?

Au unataka umuoe?

Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.

Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966

Du. Nilifikiri manesi kwa hizo nguo. 😂😂
 
Sidhani kama kweli hao hapo pichani ndo cabin crew wa ATCL; kama ndio hao kwakweli wamefeli.

They do not look smart at all.

Uniform mbaya, kitambi kama changu nakiona hapo. Nywele cheap cheap za manzese.

Kila kazi ina qualification zake na mtu ukipaa angani unategemea kukutana na malaika jamani.

Hebu ona cabin crew walivyo huko fastjet ya hapa hapa nchini.
fastjetofficial_7NPs1bveRo.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom