Wale madada wa ATCL ndo dada zetu wa Kitanzania halisi. Mwataka waweje?

Wale madada wa ATCL ndo dada zetu wa Kitanzania halisi. Mwataka waweje?

Hahaha nyambiti, nyakoo na nyanturi
tapatalk_1535133184213.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wadada wa Koromije wamepata kazi kwa vimemo kutoka juu.

Cha msingi wawekwe walimbwende wenye vigezo na sio hao wanaukuja kwenye interview na vimemo kutoka kwa nduli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweka mitandaoni picha ya mtu na kumjadili si sawa kwani inaleta kadhia kwake na na watu nwanaomzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app

kweli nakuunga mkono 100%.sio utamaduni mzuri na ni kosa ksheri na la kimaadili.mfano huyo anaelalamika ndiyyo ingekuwa dada,shangazi yake nk ndiyo watu wanamjadili angejisikiaje. Muuhimu ni discipline ya kazi urembo baadae, kuna wanawake warembo lakini wajeuri na dharau utajuta kwanini umekutana nae
 
Bongo Kuna wanawake warembo kuzidi nchi zote za Afrika mashariki Sema tatizo ni wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu liombe radhi taifa.
Tuna akiba hadi ziada ya kutosha ya wanawake warembo kupitiliza hapa nchini.
Sema linapokuja suala la sifa, hapo mtu unaweza kuongea mengine!
Lakini suala la mishepu, mbona dada zetu wazuri kishenzi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wadada sio wabaya ila hawapo smart.

Wangejiongeza kwa vikorombwezo kidogo mbona wangenoga.

Sema wapo rafu ndiyo maana wameonekana wabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.

Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?

Au unataka umuoe?

Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.

Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Mkuu tuache masikhara,yaani hao ndio wahudumu wa kwenye ndege?
 
Back
Top Bottom