kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
hata mimi nimemuona huyo huyo, aise, sasa jf patachimbika mkuu.. Wanaume wenye macho makali ya kuona mwanamke mzuri na mtamu kama mimi nasema, NIPENI huyo wa kushoto. Nimempenda.
hata mimi nimemuona huyo huyo, aise, sasa jf patachimbika mkuu.. Wanaume wenye macho makali ya kuona mwanamke mzuri na mtamu kama mimi nasema, NIPENI huyo wa kushoto. Nimempenda.
Hata fast jet ina watoto wazuri kupitiliza.Sidhani kama kweli hao hapo pichani ndo cabin crew wa ATCL; kama ndio hao kwakweli wamefeli.
They do not look smart at all.
Uniform mbaya, kitambi kama changu nakiona hapo. Nywele cheap cheap za manzese.
Kila kazi ina qualification zake na mtu ukipaa angani unategemea kukutana na malaika jamani.
Hebu ona cabin crew walivyo huko fastjet ya hapa hapa nchini.View attachment 846035
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka wametoka Chato. Kilangila.Hii nchi imejaaliwa watoto wazuri sana aiseeee
Sio hawa.
Sijui wamewatoa Malawi au Wakikuyu wa Kenya huko??
Au mwenye kalioKila kazi na sifa zake, kuna kazi zinahitaji totozi zilizosimamia kucha.
Mfano, mimi siwezi kunywa kwenye bar kama haina totoz za kueleweka, bia haitashuka kabisa.
Ajirini hata wadada wa kirangi, acheni ujuha, mbegu gani hiyo mnayolazimisha kwenye biashara za watu, hatubezi mwonekano wa mtu yeyote, ila kila muonekano una mahala pake, tusilazimishe.Heshima kwenu wakuu,
Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.
Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?
Au unataka umuoe?
Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.
Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Heshima kwenu wakuu,

Dada zetu kwa kweli kama wanasikia au wanasoma hapa ukweli wanapendeza sana tena sana bila kuvaa mawigi, sijui nani anawadanganya wigi zinapendeza. ATCL wangeanza kama sheria hakuna wigi na ukweli wanapendeza. hata hawa kina dada wana ubaya gani wazuri tu muhimu naunga hoja 100% ya mawigi.
Walipata ajira wakati ATCL ilikuwa imejifiaYaani hao ndio Air hostess.. waambie waache masihara bwana ".... bongo ina warembo kibao aisee"... hao wanashindwa hata na madada wa idara ya uhamiaji
Hawa wadada wa Koromije wamepata kazi kwa vimemo kutoka juu