figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nukuu.Heshima kwenu wakuu,
Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.
Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?
Au unataka umuoe?
Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.
Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Mbona mkuu hao wapo kama WAUGUZI???au umekosea kupost picha?!?!Heshima kwenu wakuu,
Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.
Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?
Au unataka umuoe?
Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.
Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Kuweka mitandaoni picha ya mtu na kumjadili si sawa kwani inaleta kadhia kwake na na watu nwanaomzunguka.Heshima kwenu wakuu,
Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.
Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?
Au unataka umuoe?
Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.
Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
. Wanaume wenye macho makali ya kuona mwanamke mzuri na mtamu kama mimi nasema, NIPENI huyo wa kushoto. Nimempenda.Heshima kwenu wakuu,
Nmeona watu wakiwazihaki na kuwadharau wafanyakazi wa dreamliner mpya wakisema hawavutii. Wanashindwa kujua kwamba hawa ndo dada zetu, shangazi, mama mdogo na wadogo zetu. Mnawacheka mnatakawa waweje? Hii ndo mbegu ya Kitanzania. Tujivunie.
Ningeelewa kama watu wangelalamika kwamba walipendelewa au taratibu hazikufuatwa kwenye kuajiriwa. Lakini swala la urembo sio kubwa. Kwani unaenda kulala naye?
Au unataka umuoe?
Wewe unayesema hawavutii, tuwekee picha ya dada yako tuone.
Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu.
View attachment 845966
Mkuu, watu walitaka waonyeshe mapaja na wajipakepake mapoda ndio waonekane wazuri.Bongo Kuna wanawake warembo kuzidi nchi zote za Afrika mashariki Sema tatizo ni wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu wakuu,