Wale madada wa ATCL ndo dada zetu wa Kitanzania halisi. Mwataka waweje?

Siamini hawa ndo air hostess wa ndege iliyoletwa ku-boost tourism. Hata u bar maid hawafai! Hii siyo kazi ya kumpa mtu kwasababu ni dada yako au binti yako. Kwa muonekano wao tu, inaonyesha management ya hilo shirika hawajui biashara ya utalii. Na tusidhani kazi hii ni kwa wasichana tu, hata wanaume pia wanaweza kufanya.
USHAURI:
Wekeni vigezo stahiki kwa kazi hii kwmfn:
* Umbile kwa wasishana na wavulana, sio mtu mnene amechoka kama hawa!
* Msichana alie fit shepu nzuri inayoendana na uniform nzuri. Sio magwanda ambayo hayafai hata kwa mama-ntilie!
* Umri, unaweka mwanamke mamawatoto mwenye umri kama huu katika ndege mpya umekosa wasichana au umelazimishwa?
* Hatuwanyanyasi hao mabinti, lakini lazima tukubaliane kwamba kazi hii inahitaji vigezo. Kama vile ambavyo huwezi kumchukua mtu yeyote kwa kazi ya jeshi. Hao wapewe kazi nyingine sio hi jamani. Hii ni biashara, tena ni ya ushindani.
 
mleta mada si bure, lazima utakuwa na maslahi na huyo dada wa kushoto kwako aliyevaa wigi. haiwezekani utumie nguvu kubwa ya namna hii kuwatetea.

nahisi ni dada yako. [emoji23]
 
Nukuu.

'' Mimi labda nishauri tu waache kuvaa mawigi, sio utamaduni wetu."

Naunga hoja mkono
Dada zetu kwa kweli kama wanasikia au wanasoma hapa ukweli wanapendeza sana tena sana bila kuvaa mawigi, sijui nani anawadanganya wigi zinapendeza. ATCL wangeanza kama sheria hakuna wigi na ukweli wanapendeza. hata hawa kina dada wana ubaya gani wazuri tu muhimu naunga hoja 100% ya mawigi.
 
Ndugu yangu omba radhi kwa hili ukweli umekosea sana. Mtu anaweza kuwa mbaya kwako mwingine akaona mzuri ndio maana wake zetu hawafanani. ndege sio kuweka wanawake wazuri tu sema wahudumu wazuri wanaolewa kazi yao sisi hatufanyi biashara ya kuuza wanawake na huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Lufthansa kuna vibibi vizee tu vinahudumia lakini utawapenda huduma zao kwa kiwango cha juu. Kwa ufupi mbaya kwako mzuri kwa mwenzako. kwenye ndege kuna mpaka wanaume nao wachaguliwe wenye sura nzuri au? waombe radhi umewakosea ndege ni huduma sio uzuri. uzuri awe mke au mume.
 
Tu
Du. Nilifikiri manesi kwa hizo nguo. 😂😂
n

Tunapaswa kujadili ubunifu wa watendaji wa kampuni hii;;biashara matangazo-kwa ushindani huu wa sasa unapaswa kuweka vitu presentable kila mahali; lile si bango la kibiashara
 
Huu unaofanyika kwa hawa Dada zetu ni udhalilishaji kama udhalilishaji mwingine tu.

Hebu wekeni picha zenu tuone kama na nyie mnavutia kama mnavyotaka hao Dada zangu wawe?

Tuache ushamba wa kupost post kila kitu hao nao ni viumbe wa Mungu kama ninyi suala la kuvutia au kutokuvutia ni kazi ya Mungu siyo ya ATCL.

Watanzania bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena tunawafanyia udhalilishaji mkubwa sana.

Laiti tungejua tunachokifanya dhidi ya hawa Dada zetu hata JF wangefuta huu uzi.

Jf halipaswi kugeuka kuwa jukwaa la kudhalilisha Dada zetu kishenzi namna hii.

Hebu jaribu kujiweka kwenye Viatu vya mzazi au ndugu wa hao mabinti ujaribu kusoma comments zinazotolewa hapa.

Kuna mambo mengine unaweza kuyafanya ukadhani ni jambo la kawaida kumbe ya psychological effect kubwa sana kwa walengwa wapo wanaoweza kushindwa kutoa Huduma kwa sababu ya huu upuuzi unaoletwa humu, wengine wanaweza hata kujiua.

Kila tunachokifanya au kukisema tufanye hivyo kwa jicho la kiutu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hakuna uwezekano wa kuchukua totoz toka mbulu au Irangi huko kama wafanyavyo wenye mabaa kwenye dreamliner?? Maana mkiwa angani ni vyema kuinjoi na totoz za ukweli aiseee hata dege likifeli engine huko angani unakufa ukiwa umekumbatia totoz la uhakika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mbongo mpe picha tu stori atatunga mwenyewe kwa hili mmebalikiwa sana..kiukweli nimefedheheshwa sana na kauli zenu za kipumbavu na kijinga inakuwaje unamdharau mtu usie mjua hata jina , hujui uwezo wake wala sifa alizonazo mnakaa kuwa jaji kwa picha shame on you.. mungu anaona usimdharau mtu usiemjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cabin crew?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…