Wale madada wa ATCL ndo dada zetu wa Kitanzania halisi. Mwataka waweje?

Yaani hao ndio Air hostess.. waambie waache masihara bwana ".... bongo ina warembo kibao aisee"... hao wanashindwa hata na madada wa idara ya uhamiaji
 
Mbona hata tigo customers care wana watoto wazuti kupita hao wasukuma dada zenu wa kanda ya ziwa?
UDART mmetujazia wasukuma kibao, hadi atcl? Tanzania ina watot wazuri sanaa wameenda hewani chuchu sa sita.
Hao hapo hata kuvaa wigi hawawezi mmewatoa kijiji gani?
 
Hata fast jet ina watoto wazuri kupitiliza.
 
Ajirini hata wadada wa kirangi, acheni ujuha, mbegu gani hiyo mnayolazimisha kwenye biashara za watu, hatubezi mwonekano wa mtu yeyote, ila kila muonekano una mahala pake, tusilazimishe.
 


šŸ˜…šŸ˜… huyu wa katikati nimependa sandle yakešŸ˜…šŸ˜…!kama katoka Malangali
 


Mkuu ..wig ambazo hazipendezi ni zile cheap..za kuuzwa 20000!bwana wew kuna wig km nywele kbs🤦acheni tu
 
Wadada watatu ā€œair hostagesā€ [emoji12]
wamesimama kwenye bango linasomeka; ā€œTUPENDE KILICHO CHETUā€ wakati huo wao wameshonea MAWIGI mazuri kabisa.... wamependeza sana.
 
Yaani hao ndio Air hostess.. waambie waache masihara bwana ".... bongo ina warembo kibao aisee"... hao wanashindwa hata na madada wa idara ya uhamiaji
Walipata ajira wakati ATCL ilikuwa imejifia
 
Tuache masihara jamani atcl kwenye hili hapana, hatudhalilishani ila embu iki kitengo ni nyeti tuwe makini bana. Ishu ya umri na mvuto jamani looh Tanzania kuna wanawake wazuri mno na wanajielewa na wasomi.
 
Mdada anakupigia bia kreti na nusu asubuhi anasuuzia na supu ya utumbo ,ukimcheki tumbo kama bodi ya kirikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…